TRA – WAFANYABIASHARA MSIJIHUSISHE NA BIASHARA ZA MAGENDO

  • Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara na wachuuzi wanaoishi jirani na fukwe za Bahari ya Hindi kutojihusisha na biashara za magengo kwani kufanya hivyo ni kuisababishia nchi kukosa mapato yake stahiki kutokana na wahusika wa biashara hizo kukwepa kulipa kodi.
  • Akizungumza na wafanyabiashara hao katika fukwe za bahari za Msasani, Mbweni, Ununio, Beach kidimbwi na Kunduchi zilizopo jijini Dar es Salaam, Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi, Rose Mahendeka, kutoka Mamlaka hiyo ameeleza kuwa, watakaobainika watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria ikiwa ni pamoja na kukamata bidhaa zote na kutaifisha vyombo vilivyohusika kubeba bidhaa hizo.
  • “Tumeamua kufanya kampeni maalum ya kuelimisha wananchi kuhusu athari za magendo katika ukanda wa Bahari ya Hindi na moja ya madhumuni ya kampeni hii ni kuwaonya wale wote wanaojihusisha na biashara za magengo kwani adhabu yake siyo tu kukamata bidhaa na kutaifisha vyombo bali pia kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kufungwa jela,” alisema Mahendeka.
1-01
Afisa Msimamizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Chama Siriwa akiwaelimisha wananchi wanaofanya shughuli zao katika fukwe ya bahari ya Ununio jijini Dar es Salaam wakati wa kampeni maalum ya kuelimisha wananchi kuhusu athari za magendo katika ukanda wa Bahari ya Hindi.
  • Ameongeza kuwa, mbali na wahusika hao wanaojihusisha na biashara za magendo kukwepa kulipa kodi ya Serikali, kuna uwekezekano wa kuwasababishia wananchi madhara ya kiafya kwa kuwa bidhaa zinazopita katika njia zisizo rasmi zinakuwa hazijathibitishwa na Mamlaka husika za Serikali.
  • “Ni muhimu tukumbuke kwamba, bidhaa zote zinazopita katika njia za vichochoro au bandari bubu hazipiti katika utaratibu rasmi na hivyo zinakuwa hazijakaguliwa wala kuthibitishwa kama ni salama au la na Mamlaka husika kama vile TBS, TMDA, Mkemia Mkuu wa Serikali na nyinginezo. Kwa mantiki hiyo, bidhaa hizo zinaweza kuhatarisha afya za walaji,” alieleza.
  • Kampeni ya kuelimisha wananchi kuhusu athari za magendo katika ukanda wa Bahari ya Hindi imeanzia mkoa wa Dar es Salaam na timu ya maafisa wa TRA wanaendelea na kampeni hiyo katika mikoa ya Pwani, Tanga, Mtwara na Lindi. Na Veronica Kazimoto,Dar es Salaam
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAKAZI WA PEMBEZONI MWA BAHARI WAELIMISHWA ATHARI ZA MAGENDO

Wakazi na wafanyabiashara waishio pembezoni mwa fukwe za Bahari ya Hindi katika kata za Somangila, …

136 Maoni

  1. Tyson Fury https://wbc.tyson-fury-fr.com is the undefeated WBC world champion and reigns supreme in boxing’s heavyweight division.

  2. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  3. A fascinating story about Brazilian veteran Thiago Silva’s https://chelsea.thiago-silva.net difficult path to the top of European football as part of Chelsea London.

  4. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristianoronaldo-br.net one of the greatest football players of all time, begins a new chapter in his career by joining An Nasr Club.

  5. From academy product to captain and leader of Real Madrid https://real-madrid.ikercasillas-br.com Casillas became one of the greatest players in the history of Real Madrid.

  6. реристрация Dragon Money Casino Dragon Money

  7. Ousmane Dembele’s https://paris-saint-germain.ousmanedembele-br.com rise from promising talent to key player for French football giants Paris Saint-Germain. An exciting success story.

  8. The compelling story of Alisson Becker’s https://bayer-04.florianwirtz-br.com meteoric rise from young talent to key figure in Liverpool’s triumphant era under Jurgen Klopp.

  9. The rise of 20-year-old midfielder Jamal Musiala https://bavaria.jamalmusiala-br.com to the status of a winger in the Bayern Munich team. A story of incredible talent.

  10. A historia da jornada triunfante de Anitta https://veneno.anitta-br.com de aspirante a cantora a uma das interpretes mais influentes da musica moderna, incluindo sua participacao na serie de TV “Veneno”.

  11. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  12. Rodrygo Silva de Goes https://real-madrid.rodrygo-br.com, known simply as Rodrygo, emerged as one of the the brightest young talents in world football.

  13. Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior-ar.com the Brazilian prodigy whose full name is Vinicius Jose Baixao de Oliveira Junior, has managed to win the hearts of millions of fans around the world in a short period of time.

  14. Robert Lewandowski https://barcelona.robertlewandowski-ar.com is one of the most prominent footballers of our time, and his move to Barcelona has become one of the most talked about topics in world football.

  15. The story of Leo Messi https://inter-miami.lionelmessi.ae‘s transfer to Inter Miami began long before the official announcement. Rumors about Messi’s possible departure from Barcelona appeared in 2020

  16. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  17. Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-ar.com born on July 21, 2000 in Leeds, England, began his football journey at an early age.

  18. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  19. RDBox.de https://rdbox.de bietet schallgedammte Gehause fur 3D-Drucker, die eine sehr leise Druckumgebung schaffen – nicht lauter als ein Kuhlschrank. Unsere Losungen sorgen fur stabile Drucktemperatur, Vibrationsisolierung, Luftreinigung und mobile App-Steuerung.

  20. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristiano-ronaldo.ae is one of the greatest names in football history, with his achievements inspiring millions of fans around the world.

  21. Luis Diaz https://liverpool.luis-diaz-ar.com is a young Colombian striker who has enjoyed rapid growth since joining the ” Liverpool” in January 2022.

  22. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  23. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  24. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  25. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  26. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  27. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  28. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  29. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  30. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  31. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  32. дизайн интерьера дома фото https://dizayn-interera-doma.ru

  33. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  34. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  35. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

  36. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *