MUHIMBILI YAZINDUA ICU MBILI ZA WATOTO WACHANGA, ZAPUNGUZA VIFO KWA WATOTO

  • Tanzania ni nchi mojawapo duniani iliyofanikiwa kupunguza idadi ya vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano kwa theluthi mbili na imesababisha kufikia mpango namba nne wa malengo ya millennia.
  • Mafanikio haya yamekuja baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Tumaini la Maisha (TLM) kujenga ICU mbili za watoto wanaohitaji huduma za uangalizi maalumu. Kutokana na juhudi hizo, Muhimbili imefanikiwa kupunguza vifo vya watoto waliokuwa wanahitaji uangalizi maalumu kutoka asilimia 70 ya vifo vilivyokuwa vikitokea ndani ya saa 24 na kufikia asilimia 30.
2-01
Mojawapo ya ICU ya watoto wenye umri wa siku 29 hadi miaka 14 iliyozinduliwa
  • Hayo yamesemwa  na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba wa MNH, Dkt. Hedwiga Swai kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Lawrence Museru wakati wa uzinduzi wa ICU  zinazowahudumia watoto wanaohitaji uangalizi maalumu chini ya umri wa siku 28 (Neonatal Intensive Care Unit) na watoto wenye umri wa kati ya mwezi mmoja hadi miaka 9 (Pediatric Intensive Care Unit) zenye dhamani ya shilingi bilioni 4.9 zilizojengwa kwa ufadhili wa Mke wa Mfalme wa UAE, Shaikha Jawaher Bint Mohammed AlQasim kupitia Shirika la Tumaini la Maisha (TLM).
  • “Hospitali ya Taifa Muhimbili ndiyo Hospitali kubwa kuliko hospitali zote nchini, idara ya watoto wenye umri siku 0 mpaka 28 kina vitanda (baby cots) 134 na umri wa siku 29 mpaka miaka 14 kina vitanda 294 na ndicho kitengo chenye vitanda vingi nchini. Kitengo hiki kinahudumia watoto wote wanaozaliwa Muhimbili na wanaoletwa kwa njia ya rufaa kutoka takribani hospitali zote za mikoa nchini,” amesema Prof. Museru.
3-01
Mwakilishi wa Malkia wa Sharja, Dkt. Sawsan Abdul Salam Al Madhi akizungumza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kabla ya kuzinduliwa kwa ICU mbili za watoto wanaohitaji uangalizi maalumu ya PICU na NICU. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa MNH, Dkt. Ellen Senkoro.
  • Dkt. Swai amesema kwa kipindi kirefu watoto walikua hawana ICU maalumu kwa ajili yao hivyo kulazwa  ICU ya kawaida ya watu wazima hali iliyosababisha watoto hao kukosa huduma muhimu.
  • “Uwepo wa ICU hizi maalumu kwa watoto utafanya watoto waweze kuonwa kwa ukaribu na madaktari na wauguzi waliobobea katika kutoa huduma stahiki kwa watoto tofauti na awali ambapo watoto walichanganywa kwenye ICU za watu wazima,” amesema Dkt. Swai.
  • Pia, amesema katika kuendelea kutekeleza maazimio ya mpango namba nne wa milenia wa kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano, Muhimbili imefanikiwa kuwa na muongozo wake wa kutoa huduma kwa watoto wachanga na watoto chini ya miaka 14 (PICU Guidelines).
4-01
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa MNH, Prof. Charles Majinge akizungumza na wataalamu wa afya kabla ya uzinduzi wa wodi hizo. Kulia ni Mwakilishi wa Malkia wa Sharja, Dkt. Sawsan Abdul Salam Al Madhi na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba wa MNH, Dkt. Hedwiga Swai wakimsikiliza Prof. Majinge.
  • “Haya ni mafanikio makubwa sana kwani tumefanikiwa kupunguza vifo vya watoto wachanga kutoka asilimia 19.2 mwaka 2017/2018 mpaka asilimia 16.2 mwaka 2018/2019. Haya ni mafanikio makubwa kwetu katika kipindi cha mwaka mmoja,” amesema Dkt. Swai.
  • Naye, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Charles Majinge ameshukuru Shirika la Tumaini la Maisha (TLM) na malkia wa Sharja kwa msaada huo, pia ameutaka uongozi wa Muhimbili kuhakikisha hizi ICU zinatunzwa ili watoto wote watakaopitia hapo waweze kunufaika na huduma za uangalizi maalumu.
Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

187 Maoni

  1. The new Premier League https://premier-league.chelsea-fr.com season has gotten off to an intriguing start, with a new-look Chelsea looking to return to the Champions League, but serious challenges lie ahead.

  2. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  3. Наш сайт предлагает вам полную информацию на такие темы, как аренда земли или продажа квартиры.
    Посетите наш сайт и начните свой путь к собственному жилью уже сегодня!

  4. The fascinating story of Marcus Rashford’s rise https://manchester-united.marcusrashford-br.com from academy youth to the main striker and captain of Manchester United. Read about his meteoric rise and colorful career.

  5. Приветствую. Подскажите, где почитать разные блоги о недвижимости? Пока нашел https://2204000.ru

  6. Приветствую. Подскажите, где почитать разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://eniseynev.ru

  7. Всем привет! Может кто знает, где найти полезные статьи о недвижимости? Пока нашел https://fuseitdecore.ru

  8. In-depth articles about the most famous football players https://zenit-saint-petersburg.wendel-br.com, clubs and events. Learn everything about tactics, rules of the game and football history.

  9. Fabrizio Moretti https://the-strokes.fabriziomoretti-br.com the influential drummer of The Strokes, and his unique sound revolutionized the music scene, remaining icons of modern rock.

  10. Всем привет! Может кто знает, где почитать полезные блоги о недвижимости? Пока нашел https://ggs45.ru

  11. Приветствую. Подскажите, где найти полезные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://glwin.ru

  12. Приветствую. Подскажите, где почитать разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://gor-bur.ru

  13. Приветствую. Может кто знает, где найти полезные блоги о недвижимости? Пока нашел https://hameleon1.ru

  14. Приветствую. Может кто знает, где найти полезные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://iskrb.ru

  15. Приветствую. Подскажите, где почитать разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://juzhnybereg24.ru

  16. Всем привет! Подскажите, где почитать полезные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://klimat-hck.ru

  17. Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior-ar.com the Brazilian prodigy whose full name is Vinicius Jose Baixao de Oliveira Junior, has managed to win the hearts of millions of fans around the world in a short period of time.

  18. Приветствую. Подскажите, где найти разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://kolahouse.ru

  19. Приветствую. Подскажите, где найтиполезные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://sm70.ru

  20. Приветствую. Подскажите, где почитать полезные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://komdizrem.ru

  21. Приветствую. Может кто знает, где почитать разные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://glatt-nsk.ru

  22. Pedro Gonzalez Lopez https://barcelona.pedri-ar.com known as Pedri, was born on November 25, 2002 in the small town of Tegeste, located on Tenerife, one of the Canary Islands.

  23. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  24. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  25. Всем привет! Подскажите, где найти разные блоги о недвижимости? Пока нашел блог о недвижимости

  26. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  27. Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.

  28. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  29. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  30. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  31. Monica Bellucci https://dracula.monica-bellucci-ar.com one of the most famous Italian actresses of our time, has a distinguished artistic career spanning many decades. Her talent, charisma, and stunning beauty made her an icon of world cinema.

  32. Приветствую. Может кто знает, где найти полезные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://glatt-nsk.ru

  33. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  34. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  35. Всем привет! Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://gor-bur.ru

  36. Всем привет! Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://konditsioneri-shop.ru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *