Waziri wa Madini Doto Biteko amesema kuna vishawishi na majaribu mengi kwa watumishi wa wizara ya Madini na Taasisi zote za chini ya wizara ya madini kutokana na wadau wake wengi ni wenye fedha nyingi hivyo ni rahisi kuwashawishi kwa rushwa na kupelekea mtumishi kufanya maamuzi yasiyo na maadili akisema …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: December 4, 2019
NAUMIA SANA KUONA BIDHAA AU KITU CHOCHOTE KINACHOHUSIANA NA SEKTA YA MADINI KIKIINGIZWA KUTOKA NJE – WAZIRI BITEKO
Upungufu wa madini ya Chumvi kwenye viwanda vya chumvi hapa nchini unamsikitisha waziri wa madini Doto Biteko kutokana na uwepo wa mahitaji (soko) makubwa ya wanunuzi wa madini hayo huku madini hayo yakiwa hayapatikani kwa wingi kutosheleza mahitaji kutokana na uzalishaji mdogo kutoka kwa wachimbaji wa madini hayo huku wanunuzi …
Soma zaidi »WAZIRI HASUNGA ASISITIZA ULAZIMA WA KUWA NA VIWANDA VYA MBOLEA NCHINI
Serikali imesema kuwa inathamini sana mchango wa Sekta binafsi katika kukuza uchumi kwani ndio chanzo kikubwa cha Pato la Taifa kutokana na mchango wake kupitia kodi, ushuru na tozo mbalimbali. Kilimo ni moja ya Sekta zinazoongoza kwa ushiriki wa sekta binafsi. Wakulima wote ni sekta binafsi. Ukiondoa Wakala wa Taifa …
Soma zaidi »WANANCHI VIJIJINI RUKSA KULIPIA UMEME KWA KUDUNDULIZA
Wananchi wa maeneo ya vijijini ambao hawana uwezo wa kulipia shiingi 27,000 za kuunganishiwa umeme kwa mkupuo, sasa wanaweza kulipia huduma hiyo kwa kudunduliza kidogo kidogo. Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani aliyasema hayo Disemba 3, 2019 kijijini Mnekezi, wilayani Chato, ambapo alikuwa akizungumza na wananchi kabla ya kuwasha rasmi …
Soma zaidi »