WAZIRI HASUNGA ASISITIZA ULAZIMA WA KUWA NA VIWANDA VYA MBOLEA NCHINI

  • Serikali imesema kuwa inathamini sana mchango wa Sekta binafsi katika kukuza uchumi kwani ndio chanzo kikubwa cha Pato la Taifa kutokana na mchango wake kupitia kodi, ushuru na tozo mbalimbali.
  • Kilimo ni moja ya Sekta zinazoongoza kwa ushiriki wa sekta binafsi. Wakulima wote ni sekta binafsi. Ukiondoa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), wafanyabiashara wote wa mazao ya Kilimo ni sekta binafsi.
1a-01
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa mbolea chenye lengo la Kuweka Mikakati ya Kutumia Fursa za Uwekezaji katika Viwanda vya Mbolea Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es salaam, tarehe 3 Disemba 2019.
  • Aidha, wauzaji wote wa mbolea isipokuwa kampuni ya mbolea Tanzania (TFC) ni sekta binafsi. Vile vile, viwanda vyote 13 vinavyotengeneza mbolea (Fertilizer) na visaidizi vya mbolea (Fertilizer supplements)  vinamilikiwa na sekta binafsi.
  • Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo tarehe 3 Disemba 2019 wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa mbolea chenye lengo la  Kuweka Mikakati ya Kutumia Fursa za Uwekezaji katika Viwanda vya Mbolea Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es salaam.
  • Mhe Hasunga amesema kuwa ili kuongeza tija katika sekta ya kilimo ni dhamira ya serikali kuhakikisha kuwa inaanzisha viwanda mbalimbali nchini huku akisema kuwa kwa Wizara ya Kilimo msukumo maalumu ni kuhakikisha kuwa viwanda vya kuzalisha mbolea vinaanzishwa hapa nchini.
  • Amesema kuwa Tanzania ina viwanda 10 vya mbolea ambavyo hutengeneza virutubisho vya aina mbalimbali kwa ajili ya mimea kama vile (Nitrogen – N, Phosphorus – P, Potassium – K, NP, NK, PK, NPK n.k.)

  • Amesema baadhi ya wafanyabashiara walioko nchini wana mitambo ya kuchanganyia mbolea (Fertilizer Blending) ili kupata aina za virutubisho mahsusi kwa ajili ya mazao (Crop Specific Fertilizer Catalogues) na pia kuwekewa visaidizi vya mbolea kwa ajili ya kurekebisha afya ya udongo (Soil Specific Fertilizer Catalogues).

1c-01
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa mbolea chenye lengo la Kuweka Mikakati ya Kutumia Fursa za Uwekezaji katika Viwanda vya Mbolea Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es salaam, tarehe 3 Disemba 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
  • Amesema kuwa pamoja na kuwepo kwa viwanda vitatu vya visaidizi vya mbolea (Calcium/gypsum n.k.) ambavyo hutumika kurekebisha hali ya  udongo ili mbolea ichukuliwe vizuri na mmea (optimal fertilizer uptake). Hata hivyo, uzalishaji wa viwanda hivi bado ni mdogo na hivyo kutokidhi mahitaji makubwa ya mbolea Nchini kwetu.
  • Ili kuimarisha upatikanaji wa mbolea kwa wakati na kuwa na bei rafiki kwa wakulima ni lazima kuongeza uwezo wa viwanda vya mbolea, viwanda vya visaidizi vya mbolea na mitambo ya kuchanganyia mbolea ili viwe na uwezo wa kutosheleza mahitaji ya wakulima nchini.
  • Pia amesema inatakiwa kujenga viwanda vipya vya mbolea, viwanda vya visaidizi vya mbolea na mitambo ya kuchanganyia mbolea ili viwe na uwezo wa kutosheleza mahitaji ya wakulima.

 

  • Zingine ni kuweka mkakati wa miaka mitano wa kupunguza au kuondoa kabisa uagizaji wa mbolea kutoka nje ya nchi; kuweka mkakati wa miaka miaka mitano wa kupunguza bei ya mbolea kwa mkulima kutokana na utengenezaji wa mbolea ndani ya nchi; na Kuweka mkakati wa kuongeza uuzaji wa mbolea nje ya nchi ili kutosheleza mahitaji ya Nchi hizo na kuiongezea Serikali pato la fedha za kigeni.
  • Pia, Taasisi zinazotoa huduma kwenye tasnia ya mbolea (fedha, utafiti, elimu, usafirishaji, nishati, vyama vya ushirika) kuweka mkakati wa kuhakikisha kwamba zinaweka mazingira wezeshi ya uwekezaji katika viwanda vya mbolea.
  • Mhe Hasunga amesema kuwa pamoja na hayo lakini pia Asasi za kiraia (AZAKI) zinatakiwa kuwa mstari wa mbele kufuatilia na kuona kwamba wadau wote wanashiriki katika mchakato wa kuhakikisha viwanda vya mbolea vinakuwepo nchini.
  • Kadhalika amesema kuwa hizi sio zama za kusubiri matamko ya Serikali na kuanza kuyakosoa bila kupendekeza majawabu. AZAKI zinatakiwa kuwa sehemu ya kutafuta majawabu badala ya kutafuta changamoto bila kutafuta au kupendekeza majawabu.
Ad

Unaweza kuangalia pia

MINADA 6 YA KOROSHO MSIMU WA MWAKA 2019/2020 YAINGIZA BILIONI 406.3

Zao la korosho katika msimu wa kilimo wa mwaka 2019/2020 limeingiza zaidi ya Bilioni 406.3 …

17 Maoni

  1. limo service offered by airporttransferdfw.com for Dallas/Fort Worth International Airport. This service provides travelers with luxurious and stylish transportation options using limousines. Passengers can book this service for a premium and extravagant travel experience, adding an element of elegance to their airport transfers.

  2. Luxury Car Service DFW is the ideal choice for business executives, high-end tourists, and anyone who wants to travel in style

  3. In Washington DC, find wheelchair-accessible car services and group transportation options. Whether you need shuttle services or general transportation, DC offers diverse options to accommodate your needs. Explore group transportation services for seamless travel experiences throughout the capital. KVLIMO offers premium transportation solutions with luxurious limousines and professional chauffeurs, ensuring comfort, style, and reliability.

  4. Discover convenient transportation from Nassau Airport to Warwick Paradise Island with options like airport shuttle services, private transfers, and taxis. Compare costs, explore Warwick Paradise Island transportation choices, and plan your seamless journey for a stress-free arrival at your destination.

  5. Airporttransfernassau.com is the place to find Nassau Airport to The Cove Atlantis transportation and rates. We offer safe, reliable, and professional transportation services from Nassau Airport to The Cove Atlantis for all your needs!

  6. Riu Paradise Island has a white sand Beach and mesmerizing locations if you want to make your day special on the island hire our luxury cars for the trip to Nassau Airport to Riu Paradise Island.

  7. Blue Mountain Airport Taxi ensures smooth travel with services like Pearson Airport taxi to Blue Mountain and Toronto to Blue Mountain bus options. Rely on our expertise for convenient Blue Mountain cabs and enjoy stress-free transportation to your destination.

  8. Woodstock Taxi services offer reliable transportation in Woodstock, Ontario. With a fleet of Woodstock Taxis, we ensure efficient and safe commuting for residents and visitors. Count on us for all your local transportation needs.

  9. Travel with convenience using our Buffalo Taxi Service, providing reliable and efficient transportation options for trips from Buffalo to Toronto, Oakville, Hamilton, Mississauga, Burlington, and more.

  10. Streamline your travel with our O’Hare Airport Pickup/Drop Service. Enjoy hassle-free transportation with our reliable shuttle, limousine, and chauffeur options. From airport transfers to downtown journeys, we ensure comfort and convenience.

  11. Comprehensive ground transport offerings for Teterboro Airport (TEB) include shuttle, taxi, rental, and transfer services, ensuring convenient travel experiences.

  12. Discover convenience with our LAX to Long Beach transportation. Depend on our specialized SNA airport services for a reliable and hassle-free journey between major Southern California hubs.

  13. Dubai Hummer Limo for Dubai Limousine Service, it’s about convenience, a comfortable journey and ultimate class. skip the traffic jams and enjoy the sights and sounds of Dubai from the comfort of a Dubai Hummer Limo as our professionally trained and courteous chauffeurs strive to give you a pleasant ground transportation experience.

  14. Experience luxury and convenience in Dubai with Mercedes Sprinter Dubai’s limo services, offering top-tier limousines and skilled drivers for your exclusive travel needs.

  15. Airport Transfer Dubai (ATD) make sure that your every trip is comfortable

  16. Little Stars Travel specializes in luxury car services in Dubai, boasting a fleet of top-tier vehicles and experienced chauffeurs. They offer premium transportation, ensuring a stylish and comfortable journey for both business and leisure travelers, making Dubai exploration a breeze.

  17. When you’re arranging a journey from Dubai to Abu Dhabi, it’s critical to factor in transportation. Although there are many possibilities, selecting Limo UAE is an excellent decision for multiple reasons. It provides not only a lavish and pleasant environment but also a plethora of advantages that simply can’t be matched by other travel options.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *