WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AKAGUA UJENZI WA MRADI WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA YA ZIWA, ILIYOPO MUSOMA, MKOANI MARA

1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Uendeshaji (MIUKI) NHC, Haikamen Mlekio, wakati alipokagua Mradi wa Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Ziwa, iliyopo katika Manispaa ya Musoma Mjini, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Mradi wa Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Ziwa, iliyopo katika Manispaa ya Musoma Mjini, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
4-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Mradi wa Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Ziwa, iliyopo katika Manispaa ya Musoma Mjini, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *