WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA SHULE YA MSINGI ALIYESOMA MWALIMU JULIUS NYERERE

1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Afisa Elimu Mkoa wa Mara, Emanuel Kisongo,wakati alipotembelea Shule ya Msingi Mwisenge, alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, iliyopo katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia darasa la Shule ya Msingi Mwisenge, alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, iliyopo katiaka Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
4-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizugumza na wananchi, baada ya kukagua Shule ya Msingi Mwisenge, ambayo alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, katiaka Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na mkewe Mary, wakiwa wamekaa kwenye dawati ambalo alikua akilpenda kulikalia Mwalimu Julius Nyerere, wakati akisoma kwenye Shule ya Msingi Mwisenge, iliyopo katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
6-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mnara, kwenye Shule ya Msingi Mwisenge, ambayo alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AKIWA NA WABUNGE MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.