MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI WILAYANI SERENGETI

S1-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TYanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokewa katika Uwanja wa Ndege wa Seronera Wilaya ya Serengeti leo Disemba 22, 2019 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya NGORONGORO (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Hifadhi ya Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
S2-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TYanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adama Malima alipowa Uwanja wa Ndege wa Seronera Wilaya ya Serengeti leo Disemba 22, 2019 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya NGORONGORO (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Hifadhi ya Ikoma Serengeti Mkoani Mara.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
S4-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TYanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokewa katika Uwanja wa Ndege wa Seronera Wilaya ya Serengeti leo Disemba 22, 2019 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya NGORONGORO (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Hifadhi ya Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
5-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TYanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adama Malima alipowa Uwanja wa Ndege wa Seronera Wilaya ya Serengeti leo Disemba 22, 2019 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya NGORONGORO (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Hifadhi ya Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *