MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA MAADHIMISHO MIAKA 60 YA TANAPA NA NCAA MKOANI MARA

M2-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Rasmi la Jeshi Usu la Maliasili kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019
M3-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
M4-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunuku Tunzo kwa Pro. Adolfo Mascarenhas kwa kutambua Mchango wake Mkubwa katika kutunza na kutangaza Hifadhi za Taifa kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
M5-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunuku Tunzo kwa Deogratius Chami kwa niaba ya Makundi ya watu wenye Mahitaji Maalum kwa kutambua Mchango wao Mkubwa katika kutunza na kutangaza Hifadhi za Taifa kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
M6-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Kasha la Wakati la kuhifadhia kumbukumbu za nyaraka za Hifadhi za Taifa wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
M7-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kuzindua Minara Miwili ya kumbukumbu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
1-01
Askari wa Jeshi Usu la Maliasili wakionesho Onesho la kupambana na Ujangili wakati Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *