MELI MPYA YA MV MBEYA IMETIA NANGA MATEMA BEACH Matokeo ChanyA+ December 23, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 986 Imeonekana Meli mpya kabisa ya MV MBEYA imetia nanga Matema Beach, Ziwa Nyasa kwa mara ya kwanza leo ikiwa katika majaribio.Meli hii imetengenezwa na kampuni ya kizalendo ya Songoro Marine Transport Ltd ya Mwanza, Ujenzi wa Meli hii ni sehemu ya ahadi mbalimbali za Rais Dkt John Magufuli Wananchi wakiwa wamefika kushuhudia Meli mpya kabisa ya MV MBEYA imetia nanga Matema Beach, Ziwa Nyasa kwa mara ya kwanza leo ikiwa katika majaribio.Meli hii imetengenezwa na kampuni ya kizalendo ya Songoro Marine Transport Ltd ya Mwanza, Ujenzi wa Meli hii ni sehemu ya ahadi mbalimbali za Rais Dkt John Magufuli Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest