Rais Dkt. John Magufuli amepokea hati za utambulisho za Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) hapa nchini Mhe. Manfred Fanti, Balozi wa Finland hapa nchini Mhe. Riitta Swan na Balozi wa Rwanda hapa nchini Mhe. Mej. Jen. Charles Karamba, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Mhe. Rais Magufuli baada …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
BALOZI KAIRUKI AYAKARIBISHA MAKAMPUNI YA SADC KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI NDANI YA JIMBO LA JIANGSU – CHINA
Mkutano wa kuvutia uwekezaji katika nchi za SADC kutoka Jimbo la Jiangsu umefunguliwa leo jijini Nanjing na Naibu Gavana wa Jimbo hilo Ndugu Ma Qiulin. Mkutano huo umehudhuriwa na Mabalozi 11 wa nchi za SADC na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa SADC ambaye pia ni Mkurugenzi wa Miundombinu wa Sekretariat …
Soma zaidi »ALPHONCE SIMBU ASHINDA MEDALI YA FEDHA KATIKA MBIO ZA KM 42, MBIO NDEFU YA MAJESHI YA DUNIA
WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUFANYIWA UCHUNGUZI SARATANI YA MATITI
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania-MEWATA- imefanya zoezi la uchunguzi wa awali wa saratani ya matiti bila malipo kwa lengo la kuongeza uelewa juu ya ugonjwa huo na kuhamasisha jamii umuhimu wa kujichunguza mapema. Zoezi la uchunguzi limefanyika kwa siku mbili ambapo kina mama …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI MKUTANO WA NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE NCHINI AZERBAIJAN
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA PURA KWA KUOKOA TSHS BILIONI 10 ZA PSAs
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa kuokoa kiasi cha shilingi Bilioni 10.08 kutokana na kaguzi za gharama na mapato ya mikataba ya Mafuta na Gesi Asilia nchini (PSAs). Pongezi hizo wamezitoa tarehe 25 Oktoba, 2019 …
Soma zaidi »NCHI WANACHAMA ZA SADC WATOA MSIMAMO WAO KUHUSU VIKWAZO VYA KIUCHUMI KWA NCHI YA ZIMBABWE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano wa Mawaziri wa Nchi wa Wanachama wa Jumuiya ya SADC wa sekta ya Utalii,Maliasili na Mazingira katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha. Akifungua mkutano huo Makamu wa Rais amesema kuwa katika mkutano wa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI NCHINI AZERBAIJAN
Waziri Mkuu Kassim Majaliwwa ameutaka ubalozi wa Tanzania nchini Urusi uratibu mipango ya wafanyabiashara wa Urusi wanaokusudia kuja nchini kuwekeza kwa kuwaunganisha na Taasisi na Wizara husika ili waweze kuwekeza mitaji yao kwa kuzingatia maslahi ya Taifa. Ametoa agizo hilo jana (Alhamisi, Oktoba 24, 2019) baada ya kugundua uwepo wa …
Soma zaidi »