Maktaba ya Mwaka: 2019
TTCL NA BACKBONE SYSTEM YA BURUNDI WASAINI MKATABA WA MIAKA 10 WENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 13.8
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya shilingi bilioni 13.8 na Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) kwa ajili ya kupeleka huduma ya internet nchini Burundi
Soma zaidi »NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA ATEMBELEA MAKAZI MAPYA YA ASKARI SHINYANGA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI URUSI KUMWAKILISHA RAIS KATIKA MKUTANO BAINA YA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA AFRIKA NA URUSI
MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI MKUTANO WA AALCO
LIVE: MAKAMU WA RAIS KATIKA MKUTANO WA 58 WA SHIRIKISHO LA MASHAURIANO YA KISHERIA LA ASIA NA AFRIKA
HALMASHAURI ZATAKIWA KULINDA MAENEO YA HIFADHI YALIYOIDHINISHWA VIJIJI YASIVAMIWE
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kuhakikisha zinalinda maeneo yote ya hifadhi yaliyoidhinishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kuwa vijiji ili yasiendelee kuvamiwa. Dkt Mabula alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na watendaji wa sekta …
Soma zaidi »TANZANIA KUNUFAIKA NA MIKOPO YA KUENDELEZA MIRADI YA MIUNDOMBINU KUTOKA BENKI YA ‘ASIAN INFRASTRUCTURE INVESTMENT’.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango(Mb) amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa ‘Asian Infrustructure Investment Bank’ Bw. Danny Alexander jijini Washington DC. Katika mazungumzo na Benki hiyo wamekubaliana kusaidia katika miardi endelevu ya Miundombinu kama Barabara na Reli. Mazungumzo hayo ambayo pia yalihudhuriwa na Waziri wa …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKIWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI. IKULU JIJINI DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni. Hafla inayofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 20, 2019
Soma zaidi »