TTCL NA BACKBONE SYSTEM YA BURUNDI WASAINI MKATABA WA MIAKA 10 WENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 13.8

TT 11-01
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) Ir. Elie Ntihagowumwe wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa wa TTCL jijini Dar es salaam
TT 10-01
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) Ir. Elie Ntihagowumwe wakionyesha mkataba waliosaini wa  miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 13.8 wa kuwaongezea uwezo Burundi katika sekta ya mawasiliano jijini Dar es salaam 
TT 8-01
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba akimpa zawadi kutoka Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) Ir. Elie Ntihagowumwe jijini Dar es salaam
  • Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya shilingi bilioni 13.8 na Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) kwa ajili ya kupeleka huduma ya internet nchini Burundi
TT 7-01
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba akimpa zawadi kutoka Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) Ir. Elie Ntihagowumwe jijini Dar es salaam
TT 5-01
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba akipokea zawadi kutoka Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) Ir. Elie Ntihagowumwe jijini Dar es salaam 
TT 4-01
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) Ir. Elie Ntihagowumwe wa kushoto wakisaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 13.8 wa kuwaongezea uwezo Burundi katika sekta ya mawasiliano hii leo jijini Dar es salaam 
TT 3-01
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) Ir. Elie Ntihagowumwe wa kushoto akibadilishana mkataba na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba
TT 2-01
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) Ir. Elie Ntihagowumwe wa kushoto akizungumza wakati wa kutiliana sana na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Jim Yonaz na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba
TT 1-01
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) Ir. Elie Ntihagowumwe wa kushoto akizungumza wakati wa kutiliana saina na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Jim Yonaz
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI INATARAJIA KUJENGA MINARA 5 YA MAWASILIANO WILAYANI MAFIA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Injinia Atashasta Nditiye (Mb.) amezindua mnara wa Mawasiliano …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *