Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 696 kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya shule kongwe ya sekondari Galanos iliyopo mkoani Tanga. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknlolojia William Ole Nasha alipotembelea shule hiyo kukagua maendeleo ya ukarabati wa miundombinu ambapo amesema fedha hizo zimetolewa kupitia …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
MRADI WA KUFUA UMEME WA MAJI JULIUS NYERERE KATIKA MAPOROMOKO YA MTO RUFIJI UNAOTEKELEZWA NA SERIKALI ULIASISIWA NA BABA WA TAIFA MWAKA 1975
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Tano inatekeleza kwa vitendo Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere katika Maporomoko ya Mto Rufiji unaojulikana kama Julius Nyerere HydroPower Project ambao uliasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere mnamo mwaka 1975. Hayo yamesemwa na Naibu …
Soma zaidi »SERIKALI KUJENGA VIVUKO VIPYA VIWILI
BAIDU KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA NCHINI CHINA
Katika Jitihada za kukuza utalii nchini Taasisi iliyopewa jukumu hilo yaani Bodi ya Utalii Tanzania(TTB) ikishirikiana na Ubalozi wa Tanzania Nchini China, wamewezesha kampuni ya Beijing Pseacher Business na Baidu kuja nchini kutembelea na badaye kufanya kazi ya uzalishaji wa picha mjongeo(Film) na picha zitakazowekwa kwenye mtando wao wenye …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: MKUTANO WA WAZIRI WA TAMISEMI NA WAKUU WA MIKOA KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019
MAKAMU WA RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI JIJINI DODOMA
MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI AIPONGEZA SERIKALI KWA KUJENGA RELI YA KISASA KWA FEDHA ZAKE ZA NDANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bi. Anne Kabagambe amefanya ziara fupi kuona Mradi mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro Agosti 22, 2019. Katika ziara hiyo Bi. Anne alipata fursa ya kutembelea Stesheni ya reli ya kisasa …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI ABAINISHA MKAKATI WA KUNUSURU UKOSEFU WA UMEME ULIOTOKEA KAGERA
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema serikali inatekeleza miradi kadhaa inayolenga kuunganisha umeme wa gridi ya taifa kwa baadhi ya wilaya za Mkoa wa Kagera ambazo kwa sasa zinapata huduma ya umeme kutoka Uganda, ili kuzinusuru na adha iliyojitokeza hivi karibuni ya ukosefu wa umeme kwa takribani siku tatu. …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI MBALIMBALI
MAGARI YANAYOTUMIA GESI YAONGEZEKA NCHINI
Serikali imebainisha kuwa matumizi ya gesi asilia katika magari nchini yamezidi kukua ambapo kwa sasa idadi imefikia 210 kutoka 65 yaliyokuwa yakitumia nishati hiyo, mwaka 2017. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt. James Mataragio, jijini Dodoma, leo Agosti 21, 2019 wakati …
Soma zaidi »