Serikali kupitia TEMESA imezindua rasmi ujenzi wa vivuko vipya viwili vya kisasa vitakavyotoa huduma ya kusafirisha abiria , mizigo na magari kati ya Bugorola – Ukara Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza na Chato – Nkome Wilaya ya Chato mkoani Geita.Serikali kupitia TEMESA imezindua rasmi ujenzi wa vivuko vipya viwili vya kisasa vitakavyotoa huduma ya kusafirisha abiria , mizigo na magari kati ya Bugorola – Ukara Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza na Chato – Nkome Wilaya ya Chato mkoani Geita.