Maktaba ya Mwaka: 2020

UJENZI WA STESHENI YA MOROGORO YA RELI YA KISASA (SGR) UMEFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 70

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Jumapili Novemba 29, 2020, amewaongoza Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kukagua ujenzi wa stesheni ya Morogoro ya Reli ya Kisasa (SGR). Katika ziara hiyo, Dkt. Abbasi alieleza kuridhishwa na kasi …

Soma zaidi »

SERIKALI IMEANZA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA BIASHARA KATIKA SEKTA YA MISITU

Serikali imeanza kuweka mazingira mazuri yatakayowezesha sekta ya misitu kuchangia kikamilifu katika ukuaji wa uchumi; kuwaongezea wananchi kipato na kuzalisha ajira. Naibu Kamishna wa Uhifadhi – TFS Mohamed Kilongo anasema hatua hiyo inalenga kuimarisha utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji Nchini ili shughuli za uchumi na …

Soma zaidi »

MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AFANYA ZIARA TARURA-CHALINZE, AAHIDI KUPIGANIA KUONGEZA BAJETI ZAIDI

Na Mwandishi wetu, Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara maalum ambapo leo ametembelea ofisi za Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini-Tanzania (TARURA)-Chalinze ili kuona namna wanavyofanya kuendelea kuboresha miundombinu ya barabara korofi za Halmashauri hiyo. Awali akifanya mazungumzo na Meneja wa TARURA-Chalinze, Mbunge Ridhiwani …

Soma zaidi »

TANZANIA YAIPONGEZA AfDB KWA KUENDELEA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango(kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), nchini Dkt. Alex Mubiru (kushoto), alipokuwa akimuaga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi katika Ofisi ya Rais wa Benki hiyo makao makuu Jijini …

Soma zaidi »

MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UTATU WA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi wakati wa Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi …

Soma zaidi »

BANDARI YA TANGA IMEANDIKA HISTORIA BAADA YA MELI KUBWA YA MV STAR EOS YENYE UREFU WA MITA 200 KUTIA NANGA

Kwa mara ya kwanza bandari ya Tanga imeandika historia baada ya meli kubwa ya Mv Star Eos yenye urefu wa mita 200 kutia nanga karibu kabisa na gati la bandari ya Tanga baada ya bandari hiyo kufanyiwa maboresho ikiwemo kuongezwa kina cha maji. Meli hiyo iliyobeba shehena ya “Clinker” Tani …

Soma zaidi »