Maktaba ya Mwaka: 2020

SERIKALI KUIIMARISHA TRC KWA KUNUNUA MABEHEWA MENGINE 800 YA MIZIGO, 37 YA ABIRIA NA VICHWA 39 VYA TRENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Arusha na Kilimanjaro akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni …

Soma zaidi »

VIWANJA VYA NDEGE VYA SHINYANGA, KIGOMA, TABORA NA SUMBAWANGA KUJENGWA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA

Na. Ramadhani Kissimba na Peter Haule, Dar es Salaam Serikali imezindua mradi wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma ili viwe na kiwango cha kimataifa, utakaogharimu shilingi bilioni 136.85. Akizindua ujenzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI – WATANZANIA WOTE TUENDELEA KUDUMISHA AMANI AMBAYO NI MUHIMU KWA MAENDELEO YETU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia zawadi ya viatu alivyokabidhiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee (kushoto) baada ya kufungua rasmi kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la Karanga mjini …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU MWAKALINGA APOKEA KIVUKO CHA MV.PANGANI II

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga amepokea kivuko cha MV.PANGANI II kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Tanga, MV. PANGANI II kimefanyiwa ukarabati kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina beba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.

Soma zaidi »

KATIBU MKUU KUSAYA AKARIBISHA WAWEKEZAJI KUZALISHA MBEGU ZA MAZAO YA KILIMO

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akitazama mti bora wa kahawa katika shamba la kituo cha utafiti TACRI Mbimba wilaya ya Mbozi jana. Kushoto ni Mtafiti Mkufunzi Dismas Pangaras na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Uendelezaji Mazao Wizara ya Kilimo Beatus Malema. Wizara ya Kilimo imetoa wito kwa wawekezaji …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI LEO AMETEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA NYUMBA MAALUMU YA RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiteta Jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Wakati alipotembelea Ujenzi wa Nyumba ya Mhe.Kikwete inayojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AMEMKABIDHI RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI NYUMBA MAALUMU ILIYOJENGWA NA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Nyumba maalumu iliyojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa …

Soma zaidi »

UTIAJI SAINI HOJA ZA MAKUBALIONO MUUNGANO

Kikao cha Utiaji saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi, ambapo Hoja 5 zimeondolewa ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda na Biashara, Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kikao cha Utiaji saini …

Soma zaidi »