Maktaba ya Mwaka: 2020

MKANDARASI ATAKIWA KUMALIZA UJENZI WA BARABARA ZA MJI WA SERIKALI IFIKAPO JULAI 2021

Na. Bebi Kapenya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff amemuagiza Mkandarasi Kampuni ya China Heinan International Cooperation Co. Ltd (CHICO) anayetekeleza Mradi wa ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha Lami zenye urefu wa Km 51.2 katika Mji wa Serikali Mtumba kukamilisha …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA SOKO LA TANGAWIZI KIGOMA

Na Josephine Majura, Kigoma Waziri wa Fedha na Mipango,  Dkt. Philip Isdor Mpango, ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la soko la zao la biashara la Tangawizi linalolimwa kwa wingi Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma. Dkt. Mpango ametoa ahadi hiyo katika Kata ya Munzeze mkoani Kigoma, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo ambapo amesema atatafuta …

Soma zaidi »

DKT. CHAULA AFUNGUA MAFUNZO YA KUBAINI NA KUANDAA REJISTA YA VIHATARISHI VYA SEKTA YA MAWASILIANO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt. Zainab Chaula (aliyekaa mwenye kilemba) akizungumza na menejimenti pamoja na wataalamu wa Sekta hiyo, wakati wa kufungua mafunzo ya kuandaa rejista ya vihatarishi (Risk Register) vya Sekta hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma Katibu …

Soma zaidi »

BODI YA USHAURI NFRA YARIDHISHWA NA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA

Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula-NFRA wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri Mhandisi Eustance kukagua hatua zilizofikiwa za ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa katika eneo la Maisaka Mjini Babati katika Mkoa wa Manyara, tarehe 25 Novemba 2020.  Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa …

Soma zaidi »

WIZARA YA ARDHI YAANZA UPIMAJI NA UMILIKISHAJI VITONGOJI 14 KATA YA CHAMWINO DODOMA

Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza zoezi la kupanga, kupima na kumilikisha ardhi katika vitongoji 14 vilivyopo katika kata ya Chamwino mkoani Dodoma. Zoezi hilo limeanza rasmi tarehe 24 Novemba 2020 kwa timu kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AWAASA MADIWANI NCHINI KUSIMAMIA VIZURI MATUMIZI YA FEDHA ZA MIRADI

Na Benny Mwaipaja, Kigoma WAZIRI wa Fedha na Mipango, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameyaagiza mabaraza ya Madiwani kote nchini, kuhakikisha kuwa fedha za miradi zinazotumwa na Serikali katika maeneo yao zinasimamiwa vizuri ili kuleta tija na maendeleo ya jamii Dkt. …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS SAMIA KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA SADC WA ORGAN TROIKA

Na Nelson Kessy, Gaborone-Botswana Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye Mkutano wa dharura wa pamoja baina ya SADC Organ Troika (Botswana, Malawi na Zimbabwe), na nchi zinazochangia Vikosi vya ulinzi na amani vya Umoja …

Soma zaidi »