Na Munir Shemweta, WANMM IRINGA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angelina Mabula amezitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha zinapeleka hati za madai ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu wa kodi hiyo kuanzia jumatatu tarehe 18 Mei 2020 na watakaokaidi kulipa kwa hiari wafikishwe …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2020
UJENZI WA HOSPITAL YA WILAYA YA NYAMAGANA WAFIKIA HATUA ZA MWISHO
Muonekano wa picha mbalimbali za ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza unavyoendelea.
Soma zaidi »KIPAUMBELE CHA SERIKALI NI KUWALIPA WASTAAFU MAFAO YAO – WAZIRI MPANGO
Waziri wa fedha na mipango Dkt Philip Mpango Serikali imesema moja ya kipaumbele chake ni kuhakikisha wazee wanastaafu kwa amani kwa kuwalipa mafao yao kadri inavyostahili. Waziri wa fedha na mipango dkt Philip Mpango amesema hayo mei 15 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu mchango wa mbunge wa Singida Mashariki Miraji …
Soma zaidi »IDADI YA WAGONJWA WA CORONA IMEPUNGUA NCHINI – RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020. Rais Dkt. John …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI NYONGO AUTAKA UONGOZI WA STAMIGOLD KUSHIRIKIANA NA WAFANYAKAZI KUZALISHA KWA UFANISI
Meneja wa uchimbaji, Mhandisi Benson Mgimba akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Madini na walioambatana naye wakati wa ziara ya kikazi mgodini hapo. (Picha na Wizara ya Madini). Na Nuru Mwasampeta, WM Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ameutaka uongozi wa Mgodi wa Stamigold kuwajali wafanyakazi na kufanya kazi kwa …
Soma zaidi »WASAMARIA WEMA WAFANIKISHA MATIBABU YA MTOTO ALIYEZALIWA NA MATATIZO YA MOYO
Mtoto mwenye umri wa miaka minane (jina tunalo) ambaye alizaliwa na tatizo la moyo aliloishi nalo kwa miaka yote hiyo, ametibiwa kwa mafanikio katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Mtoto huyo aliyezaliwa pacha (wawili) alikuwa anakabiliwa na matatizo ya aina mbili ya moyo ikiwamo lile la tundu dogo kwenye …
Soma zaidi »MAAFISA TARAFA MKOANI RUKWA WAKABIDHIWA PIKIPIKI ILI KUBORESHA UTENDAJI KAZI
Katika hatua za kuboresha utendaji kazi wa Maafisa Tarafa nchini Rais Wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli ametoa pikipiki 12 kwa Maafisa Tarafa mkoani Rukwa ili ziweze kuwasaidia kutekeleza majukumu yao ya kiserikali katika kata wanazozihudumia.Pikipiki hizo zimetolewa ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake Rais Dkt. …
Soma zaidi »RC SHIGELLA ATEMBELEA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA KADI ZA KIELEKTRONIKI
Serikali imetakiwa kuweka utaratibu utakaowezesha taasisi za Umma na watu binafsi, kuacha kuagiza kadi za kielektroniki nje ya nchi na badala yake watumie zinazozalishwa nchini ili kujenga uchumi wa viwanda.Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella, alitoa pendekezo hilo wakati alipotembea kiwanda kipya cha kuzalisha vocha na kadi mbalimbali kinachojulikana …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA JNHPP
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha Megawati 2,115 na amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Dkt. Tito Mwinuka asimamie mradi huo ili ukamilike kwa wakati. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nishati …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kusema kuwa mradi huo umesaidia kupungua tatizo la ajira kwa kuajiri wafanyakazi 18,700. “Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu, kumesaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa kutoa ajira 7,400 kwa kipande cha Dar hadi Morogoro. Kipande cha Morogoro hadi …
Soma zaidi »