NAIBU WAZIRI NYONGO AUTAKA UONGOZI WA STAMIGOLD KUSHIRIKIANA NA WAFANYAKAZI KUZALISHA KWA UFANISI

Meneja wa uchimbaji, Mhandisi Benson Mgimba akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Madini na walioambatana naye wakati wa ziara ya kikazi mgodini hapo. (Picha na Wizara ya Madini).

Na Nuru Mwasampeta, WM

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ameutaka uongozi wa Mgodi wa Stamigold kuwajali wafanyakazi na kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuongeza uzalishaji katika mgodi huo.  Amesema ,uongozi wa wizara utafika mgodini hapo mara kwa mara kusikiliza na kutatua changamoto zao ili kuongeza uzalishaji.

Ad

Amewataka viongozi hao kufanya kazi na wasambazaji na wataalamu  wa nje  wenye uadilifu na ufanisi  mkubwa ili kusaidia katika kuongeza  uzalishaji mgodini hapo. “Msione shida kuvunja mikataba na makampuni yasiyokwenda na kasi mnayoitaka katika kuzalisha dhahabu mgonini hapa,”Nyongo alisisitiza.

Nyongo alitoa kauli hiyo Aprili 13, 2020 alipotembelea Mgodi wa Serikali wa  Stamigold unaosimamiwa na Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) na kukiri kuridhishwa na maendeleo ya uzalishaji mgodini hapo.

Amesema, tofauti na ilivyokuwa awali kwa mgodi huo, mwaka huu faida ya uzalishaji imeonekana kabla hata ya kumaliza mwaka ambapo faida ya uzalishaji imeongezeka kutoka shilingi billioni 2.7 mpaka kufikia shilingi  billioni 5 na kuwa na mategemeo ya kuongezeka kwa faida mpaka bilioni kumi kwa mwaka ujao.

Naibu Waziri wa Madini, akiandika maelezo anayopokea kutoka kwa Meneja wa Mgodi wa Stamigold  alipotembelea mgodi huo na kuzungumza na wafanyakazi wa mgodi huo, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Kagera na mwakilishi kutoka Shirika la Taifa la Madini tarehe 13 Aprili,2020. (Picha na Wizara ya Madini).

Kutokana na changamoto ya ugonjwa wa corona duniani, Naibu Waziri Nyongo amesema, bado bei ya dhahabu katika soko la dunia  ipo juu na kuwataka watumishi katika mgodi huo kuhakikisha wanachukua taadhari za  kujikinga na ugonjwa wa corona kama inavyoelekezwa na wataalamu wa afya huku wakiendelea kufanya kazi kwa juhudi.

Akizungumzia bei ya dhahabu katika soko la dunia, Nyongo amesema kuwa, bei ya wakia moja imepanda kutoka dola za kimarekani 1200 hadi dola 1500. “Kutokana na ongezeko hilo la bei ya dhahabu duniani Tanzania na Stamigold kama wazalishaji wa bidhaa hiyo tunapaswa kutumia fursa hiyo kuzalisha kwa wingi ili kupata faida kulingana na uhitaji wake kwa sasa,”Nyongo alisisitiza.

Waziri Nyongo alibainisha kuwa,  kunapotokea majanga kama la corona nchi nyingi zinatunza fedha zao kwa mfumo wa dhahabu hivyo hununua na kuhifadhi dhahabu kutokana na ukweli kwamba thamani ya dhahabu huongezeka kadri siku zinavyoendelea.

Hivyo sekta ya madini ni sekta pekee yenye inayoonesha uwepo wa fursa hata katika msimu huu wa corona hivyo tuchukue tahadhari zote na kuendelea kuzalisha kwa bidii.

Aidha, ameushukuru uongozi wa mgodi huo kukubali maelekezo ya Serikali ya kuwataka  kuuza dhahabu inayozalishwa  mgodini hapo katika soko la ndani  ambapo faida ya shilingi milioni 132 zimepatikana kutokana na uuzwaji wa dhahabu hiyo nchini.

Kwa upande wake Meneja wa Mgodi, Mhandisi Gilay Shamika amesema, utafiti uliofanywa na kampuni hiyo umeonesha uwepo wa wakia 71146 zitakazozalishwa kwa muda wa miaka mitano na wakati huo huo utafiti mwingine umeonesha kuwepo kwa wakia 106854 zitakazozalisha dhahabu kwa kipindi cha miaka saba na hivyo kufanya uhai wa mgodi kuwa wa miaka 12 kuanzia mwaka 2019/2020.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA ATEMBELEA RUKWA.. AANGAZIA AFYA, ELIMU, KILIMO NA MIUNDOMBINU KWA MIRADI YA MAENDELEO.

Katika ziara ya Rais Samia siku ya leo iliangazia kwenye sekta ya Afya, Elimu, Kilimo …

15 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Game World https://kz-games.kz offers the latest online gaming news, game reviews, gameplay and ideas, gaming tactics and tips . Start playing our most popular and amazing games and get ready to become the leader in the online gaming world!

  3. Study of the playing style of Toni Kroos https://real-madrid.toni-kroos-cz.com at Real Madrid: his accurate passing, tactical flexibility and influence on the team’s success.

  4. From childhood teams to championship victories, the path to success with the Los Angeles Lakers https://los-angeles-lakers.lebron-james-fr.com requires not only talent, but also undeniable dedication and work.

  5. Victor Wembanyama’s travel postcard https://san-antonio-spurs.victor-wembanyama.biz from his career in France to his impact in the NBA with the San Antonio Spurs.

  6. Carlos Alcaraz https://tennis.carlos-alcaraz-fr.biz from a talented junior to the ATP top 10. His rise is the result of hard work, support and impressive victories at major world tournaments.

  7. The story of Joe Biden’s https://president-of-the-usa.joe-biden-fr.com triumphant journey, overcoming many obstacles on his path to the White House and becoming the 46th President of the United States.

  8. The story of Kanye West https://the-college-dropout.kanye-west-fr.com, starting with his debut album “The College Dropout,” which changed hip-hop and became his cultural legacy.

  9. A fascinating story about Brazilian veteran Thiago Silva’s https://chelsea.thiago-silva.net difficult path to the top of European football as part of Chelsea London.

  10. Follow Bernardo Silva’s impressive career https://manchester-city.bernardosilva.net from his debut at Monaco to to his status as a key player and leader of Manchester City.

  11. Victor Osimhen https://napoli.victorosimhen-ar.com born on December 29, 1998 in Lagos, Nigeria, has grown from an initially humble player to one of the brightest strikers in modern football.

  12. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  13. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  14. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *