Maktaba ya Kila Siku: February 16, 2021

WAITARA AWATAKA NEMC KUFANYA UTAFITI NA KUDHIBITI KUONGEZEKA KWA KINA CHA MAJI YA MAZIWA MKOANI SINGIDA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara (katikati) akiwa katika kikao na maafisa mazingira (hawapo pichani) kutoka Wilaya na Manispaa ya Singida kwa lengo la kuwapa maelekezo mbalimbali. Wengine kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mhe. Elia Digha, Mkuu wa …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA ATAKA MAAFISA KAZI NCHINI KUTATUA MIGOGORO KWENYE MAENEO YA KAZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Jenista Mhagama amewataka maafisa kazi nchini kutatua migogoro inayojitokeza katika maeneo ya kazi huku akieleza kuwa Serikali haitasita kuchukua hatua za kisheria kwa maafisa kazi watakaoshindwa kutekeleza wajibu wao. Waziri Mhagama, aliyasema hayo hii …

Soma zaidi »