Maktaba ya Kila Siku: February 23, 2021

NITAUNDA TIMU YA WATAALAMU KUTOKA TAASISI NNE KUCHUNGUZA ATHARI ZA VUMBI DON-BOSCO – UMMY MWALIMU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amesema ataunda timu ya wataalamu kutoka Taasisi nne kuchunguza athari za vumbi linalodaiwa kuathiri wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Don-Bosco katika Jiji la Tanga. Kauli hiyo ameitoa hii mara baada ya kufanya ziara ya kikazi …

Soma zaidi »

UTAMBUAJI WAMILIKI WA MAJENGO UENDE SAMBAMBA NA WADAIWA KODI YA ARDHI – NAIBU WAZIRI DKT MABULA

Na Munir Shemweta, WANMM SONGWENaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametaka zoezi la utambuzi wa wamiliki wa nyumba liende sambamba na kutambua viwanja visivyolipiwa kodi ya pango la ardhi. Dkt Mabula alitoa kauli hiyo tarehe 22 Februari 2021 wakati akizungumza na wakurugenzi wa halmashauri …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI BYABATO, APONGEZA UJENZI WA KITUO CHA UMEME WA 400KV SINGIDA

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amepongeza kasi ya ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme wa 400kV cha Singida ambacho ujenzi wake umefikia asilimia 94 na kinatarajia kukamilika mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu. Wakili Byabato  alitoa pongezi hizo wakati wa ziara yake mkoani Singida, Februari 22, 2021, ya …

Soma zaidi »