Maktaba ya Kila Siku: February 13, 2021

BALOZI IBUGE: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA MAJENGO CHUO CHA DIPLOMASI

Na Mwandishi wetu, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameonesha kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa majengo ya mihadhara katika chuo cha Diplomasia na kumuagiza Mkandarasi anayetekeleza mradi huo kuzingatia thamani ya fedha, muda wa mkataba na ubora. Balozi …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS SAMIA AKAGUWA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAJI MKOA DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akitoa maagizo kuhusu kuchukuliwa hatua kwa mtu anaetiririsha Maji ya Choo katika Mradi wa Kingo za Mto Ng’ombe Wilaya ya Kinondoni alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji  na Mazingira Mkoa wa …

Soma zaidi »

KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YAIAGIZA SIDO KUONGEZA JUHUDI NA UBUNIFU KATIKA UTOAJI WA HUDUMA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeliagiza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kuongeza juhudi na ubunifu katika utoaji wa huduma zinazotumia teknolojia ya kisasa ili kukuza viwanda vidogo na kuongeza ajira nchini. Hayo, yalisemwa na Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda …

Soma zaidi »