RAIS MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA KUONDOA HOFU KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO DUNIA INAPITA WAKATI MGUMU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Februari, 2021 ameongoza viongozi na wananchi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Marehemu Balozi (Mhandisi) John William Hubert Kijazi katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021

Viongozi wengine waliotoa heshima za mwisho pamoja na Mhe. Rais Magufuli ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, Naibu Spika Mhe. Tulia Ackson, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Mawaziri, Makatibu Wakuu, Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Bw. Aboubakar Kunenge.

Ad
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021

Katika salamu zake Mhe. Rais Magufuli amemuelezea Marehemu Balozi Kijazi kuwa alikuwa kiongozi mahiri, muadilifu, mnyenyekevu, msikivu, mcha Mungu, asiyejikweza, asiyetaka makuu na mwenye huruma na upendo mkubwa kwa viongozi wenzake, watumishi na jamii kwa ujumla jambo lililomfanya kuwa kipenzi cha watu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021

Rais Magufuli amesema kutokana na uadilifu wake wa hali ya juu tangu akiwa Mhandisi wa Barabara wa Mkoa wa Dodoma na baadaye kuwa Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Balozi wa Tanzania nchini India aliamua kumteua kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kuanzia mwaka 2016 hadi mauti yalipomkuta tarehe 17 Februari, 2021 kazi ambayo ameifanya vizuri.

Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Bi. Dorothy Mwaluko wakibeba shada la maua lenyen herusi KMK yaani Katibu Mkuu Kiongozi wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021

Mhe. Rais Magufuli ametoa pole kwa familia ya Marehemu Balozi Kijazi na amemuomba Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.

Wakati huo huo, Rais Magufuli amerudia kutoa salamu za rambirambi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia tarehe 17 Februari, 2021 na kuzikwa jana tarehe 18 Februari, 2021 huko Pemba.

Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wakijiandaa kwenda kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021

Rais Magufuli amemuelezea Maalim Seif Sharif Hamad kuwa alikuwa kiongozi aliyependa amani na umoja licha kufanya siasa zake kupitia vyama vya upinzani pamoja na utayari wake wa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Visiwani Zanzibar ambapo mpaka mauti yanamkuta alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuifariji Familia ya Marehemu Mhandisi Balozi John William kijazi baada ya kumalizika kwa Ibada na Misa Maalum kwa ajili ya kumuombea Marehemu Balozi Kijazi leo Febuari 19,2021 katika Viwanja vya kareem Jee Jijini Dar es salaam.

Amefafanua kuwa hata alipokutana nae Jijini Dar es Salaam baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na alipokutana nae alipomtembelea nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 14 Januari, 2021, Maalim Seif Sharif Hamad alisisitiza kuwa hatowahamasisha wafuasi wake kufanya vurugu na kuvunja amani na alipenda kuwepo umoja wa Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla. Hivyo amewataka Watanzania kumuenzi kwa kudumisha amani na umoja uliopo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiaga Mwili wa Marehemu Mhandisi Balozi John William kijazi leo Febuari 19,2021 katika Viwanja vya kareem Jee Jijini Dar es salaam.

Aidha, Rais Magufuli amewataka Watanzania kuondoa hofu katika kipindi hiki ambacho dunia inapita wakati mgumu wa kukabiliana na janga la ugonjwa wa Korona na badala yake wachukue tahadhari na kumtanguliza Mungu, na ametangaza siku 3 za maombi na kufunga ambapo Waislamu wameanza leo, Wasabato kesho na Wakristo wengine Jumapili.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla katika Viwanja vya Kareem Jee Jijini Dar es salaam leo Febuari 19, 2021 wakati wa Ghafla ya Mwili wa Marehemu Mhandisi Balozi John William kijazi. katikati ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.

Rais Magufuli ameelezea kusikitishwa kwake na vitendo vya kutishana na uzushi vinavyofanywa na baadhi ya watu kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo uzushi uliofanywa dhidi ya Waziri wa Fedha na Mipando Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango aliyezushiwa kafariki dunia ilihali yupo hai na anaendelea vizuri na matibabu.

Amesisitiza kuwa Serikali haina mpango wa kufungia watu majumbani mwao (lockdown) na kwamba Mungu aliyeiepusha Tanzania na madhara makubwa ya ugonjwa wa Korona mwaka jana ataiepusha na mwaka huu.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

350 Maoni

  1. Latest news https://android-games-ar.com about Android games, reviews and daily updates. The latest information about the most exciting games.

  2. News, tournaments, guides and strategies about the latest GTA games https://gta-ar.com. Stay tuned for the best GTA gaming experience

  3. Открытие для себя Ерлинг Хааланда https://manchestercity.erling-haaland-cz.com, a talented player of «Manchester City». Learn more about his skills, achievements and career growth.

  4. French prodigy Kylian Mbappe https://realmadrid.kylian-mbappe-cz.com is taking football by storm, joining his main target, ” Real.” New titles and records are expected.

  5. The path of 21-year-old Jude Bellingham https://realmadrid.jude-bellingham-cz.com from young talent to one of the most promising players in the world, reaching new heights with Dortmund and England.

  6. The site is dedicated to football https://fooball-egypt.com, football history and news. Latest news and fresh reviews of the world of football

  7. Harry Kane’s journey https://bavaria.harry-kane-cz.com from Tottenham’s leading striker to Bayern’s leader and Champions League champion – this is the story of a triumphant ascent to the football Olympus.

  8. Промышленные насосы https://1nsk.ru/news/articles/nasosy-spetsialnogo-naznacheniya.html Wilo предлагают широкий ассортимент решений для различных отраслей промышленности, включая водоснабжение, отопление, вентиляцию, кондиционирование и многие другие. Благодаря своей высокой производительности и эффективности, насосы Wilo помогают снизить расходы на энергию и обслуживание, что делает их идеальным выбором для вашего бизнеса.

  9. Изготовим для Вас изделия из металла https://smith-moskva.blogspot.com, по вашим чертежам или по нашим эскизам.

  10. https://rolaks.com отделочные материалы для фасада – интернет-магазин

  11. The fascinating story of the rise of Brazilian prodigy Vinicius Junior https://realmadrid.vinicius-junior-cz.com to the heights of glory as part of the legendary Madrid “Real”

  12. Mohamed Salah https://liverpool.mohamed-salah-cz.com, who grew up in a small town in Egypt, conquered Europe and became Liverpool star and one of the best players in the world.

  13. The inspiring story of how talented Kevin De Bruyne https://manchestercity.kevin-de-bruyne-cz.com became the best player of Manchester City and the Belgium national team. From humble origins to the leader of a top club.

  14. Полезные советы и пошаговые инструкции по строительству https://svoyugol.by, ремонту и дизайну домов и квартир, выбору материалов, монтажу и установке своими руками.

  15. Bernardo Mota Veiga de Carvalho e Silva https://manchestercity.bernardo-silva-cz.com Portuguese footballer, club midfielder Manchester City and the Portuguese national team.

  16. Lionel Messi https://intermiami.lionel-messi-cz.com, one of the best football players of all time, moves to Inter Miami” and changes the face of North American football.

  17. Antoine Griezmann https://atlticomadrid-dhb.antoine-griezmann-cz.com Atletico Madrid star whose talent and decisive goals helped the club reach the top of La Liga and the UEFA Champions League.

  18. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  19. The impact of the arrival of Cristiano Ronaldo https://annasr.cristiano-ronaldo-cz.com at Al-Nasr. From sporting triumphs to cultural changes in Saudi football.

  20. The story of Robert Lewandowski https://barcelona.robert-lewandowski-cz.com, his impressive journey from Poland to Barcelona, ??where he became not only a leader on the field, but also a source of inspiration for young players.

  21. We explore the path of Luka Modric https://realmadrid.luka-modric-cz.com to Real Madrid, from a difficult adaptation to legendary Champions League triumphs and personal awards.

  22. How Karim Benzema https://alIttihad.karim-benzema-cz.com changed the game of Al-Ittihad and Saudi football: new tactics, championship success, increased viewership and commercial success.

  23. A study of the influence of Rodrigo https://realmadrid.rodrygo-cz.com on the success and marketing strategy of Real Madrid: analysis of technical skills, popularity in Media and commercial success.

  24. Find out how Pedri https://barcelona.pedri-cz.com becomes a key figure for Barcelona – his development, influence and ambitions determine the club’s future success in world football.

  25. Find out about Alisson https://liverpool.alisson-becker-cz.com‘s influence on Liverpool’s success, from his defense to personal achievements that made him one of the best goalkeepers in the world.

  26. Find out how Pedro Gavi https://barcelona.gavi-cz.com helped Barcelona achieve success thanks to his unique qualities, technique and leadership, becoming a key player in the team.

  27. r7 casino официальный сайт https://mabiclub.ru

  28. Thibaut Courtois https://realmadrid.thibaut-courtois-cz.com the indispensable goalkeeper of “Real”, whose reliability, leadership and outstanding The game made him a key figure in the club.

  29. Find out how Virgil van Dijk https://liverpool.virgil-van-dijk-cz.com became an integral part of style игры «Liverpool», ensuring the stability and success of the team.

  30. Find out how Bruno Guimaraes https://newcastleunited.bruno-guimaraes-cz.com became a catalyst for the success of Newcastle United thanks to his technical abilities and leadership on the field and beyond.

  31. Study of the playing style of Toni Kroos https://real-madrid.toni-kroos-cz.com at Real Madrid: his accurate passing, tactical flexibility and influence on the team’s success.

  32. Star Brazilian striker Gabriel Jesus https://arsenal.gabriel-jesus-cz.com put in a superb performance to lead Arsenal to new heights after moving from Manchester City.

  33. The young Uruguayan Darwin Nunez https://liverpool.darwin-nunez-cz.com broke into the elite of world football, and he became a key Liverpool player.

  34. A fascinating story about how David Alaba https://realmadrid.david-alaba-cz.com after starting his career at the Austrian academy Vienna became a key player and leader of the legendary Real Madrid.

  35. Romelu Lukaku https://chelsea.romelu-lukaku-cz.com, one of the best strikers in Europe, returns to Chelsea to continue climbing to the top of the football Olympus.

  36. The story of how the incredibly talented footballer Riyad Mahrez https://alahli.riyad-mahrez-cz.com reached new heights in career, moving to Al Ahly and leading the team to victory.

  37. The fascinating story of Marcus Rashford’s ascent https://manchester-united.marcus-rashford-cz.com to glory in the Red Devils: from a young talent to one of the key players of the team.

  38. The fascinating story of Antonio Rudiger’s transfer https://real-madrid.antonio-rudiger-cz.com to Real Madrid and his rapid rise as a key player at one of the best clubs in the world.

  39. Tobey Maguire’s Ascent Study https://spider-man.tobey-maguire.cz to the superstar through his iconic image of Spider-Man in the cult trilogy.

  40. Try to make a fascinating actor Johnny Depp https://secret-window.johnny-depp.cz, who will become the slave of his strong hero Moudriho Creeps in the thriller “Secret Window”.

  41. Fascinating event related to this Keanu Reeves helped him in the role of the iconic John Wick characters https://john-wick.keanu-reeves.cz, among which there is another talent who has combat smarts with inappropriate charisma.

  42. Jackie Chan https://peakhour.jackie-chan.cz from a poor boy from Hong Kong to a world famous Hollywood stuntman. The incredible success story of Jackie Chan.

  43. Emily Olivia Laura Blunt https://oppenheimer.emily-blunt.cz British and American actress. Winner of the Golden Globe (2007) and Screen Actors Guild (2019) awards.

  44. Follow Liam Neeson’s career https://hostage.liam-neeson.cz as he fulfills his potential as Brian Mills in the film “Taken” and becomes one of the leading stars of Hollywood action films.

  45. Carlos Vemola https://oktagon-mma.karlos-vemola.cz Czech professional mixed martial artist, former bodybuilder, wrestler and member Sokol.

  46. The inspiring story of Zendaya’s rise https://spider-man.zendaya-maree.cz, from her early roles to her blockbuster debut in Marvel Cinematic Universe.

  47. An indomitable spirit, incredible skills and five championships – how Kobe Bryant https://losangeles-lakers.kobe-bryant.cz became an icon of the Los Angeles Lakers and the entire NBA world.

  48. The inspiring story of the ascent of the young actress Anya Taylor https://queensmove.anya-taylor-joy.cz to fame after her breakthrough performance in the TV series “The Queen’s Move”. Conquering new peaks.

  49. Witness the thrilling story of Jiri Prochazka’s https://ufc.jiri-prochazka-ufc.cz rapid rise to the top of the UFC’s light heavyweight division, marked by his dynamic fighting style and relentless determination.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *