Maktaba ya Mwezi: April 2021

RAIS SAMIA AMEWATAKA VIONGOZI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MAJUKUMU NA WAJIBU WA WIZARA NA TAASISI ZAO IPASAVYO IKIWEMO UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kuwaapisha MAkatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne April 6, 2021 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza …

Soma zaidi »

WALIO HAMISHA FEDHA ‘BANK’ WAZIRUDISHE – WAZIRI WA FEDHA MWIGULU

Serikali imetoa rai kwa wafanyabiashara wote waliotoa fedha zao kwenye mabenki wakiogopa zitachukuliwa baada ya akanti zao kuonekana na fedha nyingi kuzirejesha kwa hiari na kuendelea na utaratibu wa kutumia benki kutunza fedha zao. Pia imewataka watendaji walio na jukumu la kukusanya kodi kuhakikisha wanakusanya kodi kwa wafanyabiasha kwa kuzingatia …

Soma zaidi »

WAZIRI WA FEDHA DKT. MWIGULU NCHEMBA NA NAIBU WAKE MHANDISI MASAUNI WAANZA KAZI RASMI BAADA YA KUAPISHWA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (Mb), akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi Bi. Emiliana Shayo, alipowasili katika Ofisi za Wizara zilizopo Mji wa Kiserikali wa Magufuli -Mtumba, baada ya kuapishwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino, jijini Dodoma. Waziri wa Fedha …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Hussein Othman Katanga akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ummy Ally Mwalimu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI katika hafla iliyofanyika …

Soma zaidi »