Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Muleba wakati akiwa njiani kuelekea Bukoba mkoani Kagera tarehe 17 Januari 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kemondo wakati akieleka Bukoba mjini mkoani …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2021
HOSPITALI YA UHURU YAANZA KUTOA HUDUMA
Katibu wa kuratibu shughuli za Serikali kuhamia Dodoma Meshack Bandawe akizungumza jambo na manesi wanaofanya kazi katika hospital ya uhuru iliyopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.Hospitali hiyo ambayo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 99.8, imeanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje. Hospitali ya Uhuru inayojengwa kwa gharama za bilioni 3.9 …
Soma zaidi »WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MWAMBE AMEIAGIZA EPZA KUJIKITA KATIKA UJENZI WA MAENEO MAPYA YA VIWANDA KULINGANA NA BIASHARA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) akiongea na menejimenti na watumishi wa EPZA alipofanya ziara akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa Wizara ya Viwanda na Biashara Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe …
Soma zaidi »WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMEWATAKA WATUMISHI WA TBS NA WMA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe wakuwa wameambatana na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Athuman Ngenya wakipokea maelezo kutoka Mkuu wa maabara ya kemia, Florian Bataganwa wakati wakikagua maabara za Shirika la Viwango Tanzania …
Soma zaidi »PROFESA MCHOME AITAKA TUMESHERIA KUFANYA TATHMINI YA SHERIA KUELEKEA UCHUMI WA JUU
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Profesa Sufini Mchome ameitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (TUMESHERIA) kuangalia mifumo na sheria itakayoiwezesha Tanzania kuelekea uchumi wa juu kutoka katika nchi za uchumi wa kipato cha kati uliopo sasa. Akizungumza wakati wakifungua mkutano wa 15 wa Baraza la Wafanyakzi la Tume …
Soma zaidi »DKT. FAUSTINE NDUGULILE AITAKA TTCL IACHE KUFANYA BIASHARA KWA MAZOEA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi akizungumza kumkaribisha Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile (aliyeketi katikati) kabla ya kufungua kikao cha utendaji kazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, Dodoma. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Waziri Kindamba Waziri wa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI SILINDE AIPONGEZA WILAYA YA ARUMERU KWA UJENZI WA MADARASA
Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Silinde (Mb) ameipongeza wilaya ya Arumeru pamoja na Halmashauri zake mbili za Meru Dc na Arusha Dc kwa kazi ya ujenzi wa madarasa pamoja na usimamizi madhubuti wa fedha za Umma za miradi ya EP4R Mhe Silinde ambae amefanya ziara leo Tarehe …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI KASEKENYA AWATAKA WATENDAJI KUFANYA MAAMUZI
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (aliyevaa suti ya kaki) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Uchukuzi, lililofanyika kwa siku mbili mkoani Mwanza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameitaka menejimenti na viongozi wa taasisi wa Sekta ya Uchukuzi …
Soma zaidi »MKOA WA RUVUMA WAONGOZA KITAIFA MARA MBILI MFULULIZO KWA UZALISHAJI WA CHAKULA
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Chritina Mndeme amewapongeza wakulima Mkoani Ruvuma kwa kuongoza mara mbili mfululizo kitaifa katika uzalishaji wa mazao ya chakula nchini. Mndeme ametoa pongezi hizo wakati anafungua Kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea mjini Songea. Akizungumzia muhtasari wa …
Soma zaidi »BARABARA YA MBINGA -MBAMBABAY KUFUNGUA FURSA MPYA ZA UCHUMI RUVUMA
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kukamilika kwa ujenzi wa kiwango cha lami kwa barabara ya Mbinga hadi Mbambabay yenye urefu wa kilometa 66 kunafungua fursa mpya za kiuchumi. Mndeme alikuwa anazungumza wakati anafungua kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya …
Soma zaidi »