Maktaba ya Mwaka: 2021

WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI AMTAKA MKANDARASI UJENZI DARAJA LA MAGUFULI JIJINI MWANZA KUTOA AJIRA ZA VIBARUA KWA WAZAWA

Muonekano wa sasa wa Daraja la Kigongo-Busisi, lenye urefu wa wa mita 3200, na barabara unganishi (km1.66). Daraja hili linagharamiwa na Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kwa asilimia 100. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli  jijini Mwanza, kutoa ajira …

Soma zaidi »

WALIOKAIDI MKATABA WA NARCO KIKAANGONI NDANI YA SIKU KUMI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ametoa siku kumi kwa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kubaini na kuwanyang’anya maeneo, wawekezaji waliopatiwa vitalu katika ranchi za taifa ambao wamebadili matumizi ya ardhi kinyume na makubaliano ya mikataba yao. Waziri Ndaki amebainisha hayo jana (12.01.2021) wakati alipotembelea Ranchi ya …

Soma zaidi »

KAIMU KATIBU MKUU NISHATI, AKAGUA ENEO LA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA MAJI YA MTO RUHUDJI

Muonekano wa sehemu moja ya eneo la Mto Ruhudji ambalo limegawanyika mara mbili katika eneo moja, utakapojengwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya mto huo, lililopo kati ya Kijiji cha Itipula na Lupembe, Wilayani Njombe Mkoani Njombe, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja …

Soma zaidi »

MRADI WA NYUMBA ZA MAGOMENI KOTA UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 90 – DC CHONGOLO

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amesema ubunifu wa kuweka huduma za kijamii walioonesha Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika nyumba za makazi Magomeni (Magomeni Kota,) umeiongezea thamani wakala hiyo na kwa kiasi kikubwa wakazi wa eneo hilo hawatapata changamoto za huduma za kijamii ikiwemo maji pamoja na maduka …

Soma zaidi »

MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AMPONGEZA NA KUMSHUKURU FLAVIANA MATATA KWA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU CHALINZE

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amempongeza na kumshukuru Mwanamitindo wa Kimataifa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Flaviana Matata, Bi.Flaviana Matata kwa kujitoa kwake kusaidia masuala ya elimu ndani ya Jimbo hilo. Awali akizungumza wakati wa kutoa shukrani zake kwa mwanamitindo huyo, Mbunge Ridhiwani Kikwete alisema wameupokea kwa mikono …

Soma zaidi »

RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI GEITA, AWEKA NAE JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA CHATO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Uwanja wa Ndege wa Geita aliyewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021 Rais …

Soma zaidi »