KATIBU MKUU MWAKALINGA AKAGUA KAZI YA UCHIMBUAJI TOPE DARAJA LA JANGWANI

Muonekano wa Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam ambalo kazi ya uchimbuaji tope ili kudhibiti mafuriko pindi mvua za masika zitakapoanza baadaye mwezi ujao.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akisisitiza jambo kwa Meneja Mradi wa Usafishaji Daraja la Jangwani, Eng. Elisony Mweladzi mara baada ya kukagua zoezi la uchimbuaji tope katika Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam ili kudhibiti mafuriko pindi mvua za masika zitakapoanza baadaye mwezi ujao.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akiwapongeza baadhi ya wafanyakazi wanaoendesha zoezi la uchimbuaji tope katika Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam.
Meneja Mradi wa Usafishaji Daraja la Jangwani, Eng. Elisony Mweladzi (kulia) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga alipokagua maendeleo ya zoezi la uchimbuaji tope katika Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam ili kudhibiti mafuriko pindi mvua za masika zitakapoanza baadaye mwezi ujao. Kushoto ni Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Hashim Kabanda.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Matumizi ya Nishati Mbadala kwa Kupikia na Shughuli Nyingine Zafungua Mustakabali Mpya wa Kimazingira Tanzania

Kutumia nishati mbadala kwa kupikia na shughuli nyingine ni muhimu sana kwa Tanzania kutokana na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *