Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuunganisha nguvu ya pamoja katika kuimarisha miundombinu ya Reli, Barabara, Bandari pamoja na Mawasiliano ili kukuza sekta ya viwanda katika Mataifa hayo. Aliyasema hayo leo Jumanne (Agosti …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
UJENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAENDELEA VYEMA
Maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Dar es Salaam yanakwenda vizuri ambapo ujenzi wa magati 2 kati ya 7 yaliyopo umekamilika na kuanza kupokea meli kubwa za mizigo. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit Kakoko amesema mradi wa ujenzi wa magati hayo utakaogharimu takribani …
Soma zaidi »RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MAADHIMISHO YA AWAMU YA NNE YA WIKI YA VIWANDA KWA NCHI ZA SADC JIJINI DAR ES SALAAM
NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA LUDEWA-MANDA
RAIS UHURU KENYATTA APOKEA ZAWADI YA TAUSI
KATIBU MKUU SEKTA YA UJENZI AKAGUA UJENZI WA JENGO LA HOSPITALI SONGWE
MRADI WA MAJI WA CHALINZE KUKAMILIKA APRILI 2020
MKATABA UJENZI DARAJA LA KIGONGO BUSISI WASAINIWA
Hatimaye historia imeandikwa nchini Tanzania kwa kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza lenye urefu wa kilometa 3.2, ambao utagharimu jumla ya fedha za kitanzania Bilioni 592. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja …
Soma zaidi »BALOZI KIJAZI ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA MKUTANO WA SADC
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema maandalizi ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi wananchama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi ujao yanaridhisha. Ameyasema hayo wakati akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi hayo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano …
Soma zaidi »NI MARUFUKU WANANCHI KULIPIA NGUZO – WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amesema wananchi hawapaswi kulipia nguzo wanapotaka kuunganishiwa umeme kwani hilo ni jukumu la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Akizungumza kwa nyakati tofauti, jana Julai 28, 2019 akiwa ziarani katika Wilaya za Babati na Mbulu mkoani Manyara, Waziri alitoa onyo kwa mtumishi yeyote wa …
Soma zaidi »