MRADI WA MAJI WA CHALINZE KUKAMILIKA APRILI 2020

RID 1-01
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja ametembelea mradi wa kupeleka Majisafi na salama katika mji wa Chalinze wenye thamani ya Bilioni 16 unaotarajiwa kumalizika mwezi Aprili 2020.Amewahakikishia wakazi wa Chalinze tatizo la maji katika mji wao kuwa historia
RID 2-01
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa), Cyprian Luhemeja wa pili toka kulia akiwa na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete(mwenye kofia) wametembelea maeneo ya mradi wa maji wa Chalinze, Kifuleta ,Pongwe Mnazi maji.
RID 3-01
Kazi ya kumaliza Kilio cha Maji Chalinze inakwenda kwa kasi kubwa kufuatia Serikali Kutenga Tshs.16 Bilioni kwa ajili ya ukamilishaji wa mradi wa maji ambao unatarajiwa kukabidhiwa mwezi wa nne mwaka 2020.
Ad

Unaweza kuangalia pia

NAIBU WAZIRI SIMA – MIFUKO MBADALA ISIYOKIDHI VIWANGO MARUFUKU NCHINI

Serikali imesema kamwe haitaruhusu uzalishaji, uingizaji na matumizi ya mifuko mbadala aina ya Non-Woven isiyokidhi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *