Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare wakati akivuta utepe kufungua Soko Kuu la Morogoro (Morogoro Central Market) leo tarehe 11 Februari 2021 mkoani Morogoro. Rais wa Jamhuri …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
TANZANIA KUNUFAIKA NA SHILINGI BILIONI 8 KWA AJILI YA MIGEBUKA
Tanzania imechaguliwa kunufaika na mradi wa Euro milioni 3 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 8 kwa ajili ya kuongeza mnyororo wa thamani wa samaki aina ya migebuka na dagaa kutoka ziwa Tanganyika. Mradi huo utatekelezwa Mkoani Kigoma kwa kipindi cha miaka mitano na kusimamiwa na Taasisi ya Utafiti wa …
Soma zaidi »BALOZI IBUGE AWATAKA MABALOZI KUKUZA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Balozi wa Tanzania nchini Zimbambwe Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akimuelezea jambo Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam Na Mwandishi wetu, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya …
Soma zaidi »NAIBU KATIBU MKUU-HAZINA NDUNGURU AZUNGUMZA NA WARATIBU WA BIASHARA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
Kamishna wa Idara ya uendelezaji wa sekta ya Fedha Wizara ya fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamwaja akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa waratibu wa biashara ya huduma ndogo za fedha yakiwa na lengo la kujenga uelewa katika ngazi ya Wizara, Mkoa na Halmashauri ili waweze kutekeleza majukumu yao …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA VIWANDA AFANYA MAZUNGUMZO NA WADAU WA SEKTA YA NGUO NCHINI
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akifafanua jambo kwa wazalishaji na waagizaji wa nguo na mavazi hususani vitenge na kanga katika kikao kilichofanyika tarehe Februari 2021 katika ukumbi wa Chuo cha Biashara (CBE ) jijini Dodoma Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amekutana na kufanya mazungumzo …
Soma zaidi »HOTUBA ZA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA TATU WA MAENDELEO WA TAIFA WA MIAKA MITANO
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Mwigulu Nchemba na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis wakichukua hoja wakati wa mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUTENGA MAENEO YA MICHEZO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametoa agizo kwa Halmashauri zote nchini kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za michezo, huku akiagiza Wakurugenzi katika halmashauri hizo kusimamia vyema miundombinu ya michezo na kuhakikisha maeneo ya michezo hayavamiwi. Jafo ameyasema hayo Februari 08, 2021 jijini Dodoma katika kikao …
Soma zaidi »DKT MABULA AZINDUA KAMPENI YA KODI YA ARDHI
Na Munir Shemweta, WANMM Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezindua Kampeni Maalum ya kuhamasisha ulipaji kodi ya Pango la Ardhi yenye kauli mbiu inayosema MWAMBIE MMILIKI WA ARDHI, KODI YA PANGO LA ARDHI INAMHUSU. Katika kampeni hiyo, Maafisa Ardhi na Wajumbe wa Serikali …
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU DK. ALI MOHAMED SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu yaSaba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwake KibeleWilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye. Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI SILINDE ATEMBELEA SHULE ZA TUMAINI NA MILADE SINGIDA
Naibu waziri wa TAMISEMI David Silinde amefanya ziara ya kushtukiza katika shule za Tumaini sekondari iliyopo wilaya ya Iramba na shule ya msingi Milade iliyopo wilaya ya mkalama mkoani Singida kufatilia maagizo yake aliyoyatoa mwezi December 2020. Naibu waziri Silinde ameridhishwa na ujenzi wa madarasa,mabweni na bwalo katika shule ya …
Soma zaidi »