Kamishna wa Idara ya uendelezaji wa sekta ya Fedha Wizara ya fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamwaja akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa waratibu wa biashara ya huduma ndogo za fedha yakiwa na lengo la kujenga uelewa katika ngazi ya Wizara, Mkoa na Halmashauri ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa Sera, Sheria na Kanuni za Huduma Ndogo za Fedha pamoja na majukumu mengine kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Huduma Ndogo za Fedha (Majukumu ya Waziri) za mwaka 2019.Waratibu wa biashara ya huduma ndogo za fedha wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea Jijini Dodoma.Waratibu wa biashara ya huduma ndogo za fedha wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea Jijini Dodoma.