Na Greyson Mwase Waziri wa Madini, Doto Biteko leo tarehe 20 Januari 2021 amekutana na uongozi mpya wa kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya TANZAM 2000 jijini Dodoma uliofika kwa lengo la kujitambulisha. Kikao hicho pia kimeshirikisha Kamishna wa Madini, Mhandisi David Mulabwa, Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS -MUUNGANO
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mwita Waitara akizungumza wakati wa kikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021. Kushoto ni Naibu …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche ya mkonge ili kupunguza tatizo la upungufu wa mbegu. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo itenge fedha katika bajeti yake kwa ajili ya …
Soma zaidi »DAWASA YAKABIDHIWA MRADI MKUBWA KILIMANJARO, AFISA MTENDAJI MKUU ASEMA WANANCHI KUNYWA MAJI NOVEMBA 30
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakiwemo wataalamu kutoka taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maji wakati akitembelea maeneo mbalimbali kujionea sehemu ya mradi wa maji wa Same -Mwanga -Korogwe uliokua umesimama Wizara ya Maji imekabidhi mradi wa maji wa Same –Mwanga –Korogwe (SMK) kwa Mamlaka …
Soma zaidi »MKOA WA RUVUMA WASHIKA NAFASI NZURI KITAIFA UKUSANYAJI WA MAPATO
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Chritina Mndeme amewapongeza Wakurugenzi watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kusimamia ukusanyaji wa Mapato kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ambapo Halmashauri zote nane zimevuka asilimia 80 na kufanya Mkoa kuwa katika nafasi nzuri Kitaifa. Mndeme pia ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Mkoa wa …
Soma zaidi »MWAKALINGA AKAGUA MIFUMO YA TEHAMA KUFUATILIA UTENDAJI WA MIZANI
Mhandisi Kashinde Musa akifafanua jambo kwa baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) wakati menejimenti hiyo ilipotembelea chumba maalumu chenye mifumo ya TEHAMA kitakacho iwezesha Wizara kufuatilia kwa karibu utendaji wa mizani, barabara, viwanja vya ndege, karakana pamoja na vivuko. Mhandisi Kashinde Musa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo Januari 19,2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo …
Soma zaidi »DKT CHAULA AONGOZA WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI KUANDAA MPANGO MKAKATI WA UTENDAJI KAZI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameongoza Menejimenti, maafisa waandamizi na wawakilishi wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kuandaa Mpango Mkakati wa utendaji kazi na ufuatiliaji kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, kazi itakayofanyika kwa siku 12 katika …
Soma zaidi »DKT. NDUGULILE AWATAKA TTCL KUONGEZA UBUNIFU NA UTAFITI WA MASOKO YA HUDUMA NA BIDHAA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akisisitiza jambo wakati akifunga kikao cha Mameneja wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO MAPYA YA SHULE YA SEKONDARI IHUNGO MKOANI KAGERA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo wakati akielezea kuhusu ujenzi wa Majengo Mapya ya Shule hiyo ya Ihungo Sekondari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce …
Soma zaidi »