Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

KASEKENYA AMTAKA MKADARASI DARAJA LA JPM KUFIDIA MUDA ULIPOTEA

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, amemtaka mkandarasi wa kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation na China Railway 15 Bureau Group Corporation wanaojenga Daraja la JPM (Kigongo hadi Busisi), lenye urefu wa kilometa 3.2 kufidia muda uliopotea na kuwafanya wawe nyuma kwa asilimia 7.Akikagua maendeleo ya …

Soma zaidi »

WATUMISHI WA TANESCO WATAKIWA KUJIANDAA KUIJENGA TANESCO MPYA

Na Dorina G. Makaya – Dar-es-salaam. Watumishi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamewatakiwa kuwa tayari kupokea mabadiliko, kufanya kazi kwa bidii na weledi na kutoa ushirikiano mzuri kwa uongozi wa TANESCO na bodi mpya iliyoteuliwa ili kulijenga upya Shirika la TANESCO na  kuliwezesha kufikia malengo yanayotarajiwa na Serikali. Rai …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA – IDADI YA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA IMEONGEZEKA KWA KIWANGO KIKUBWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Dodoma Mjini waliofika kumpokea katika eneo la Chinangali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Jijini Dar essalaam tarehe 26 Septemba ,2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Soma zaidi »

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI

Na Dorina G. Makaya na Ebeneza Mollel Dar-es-salaam. Waziri wa Nishati, Mhe. January Yusuf Makamba, amewataka watanzania kuchangamkia fursa zitakazotokana na ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania ili kujiongezea kipato na utaalam kwani sehemu kubwa ya bomba linapita nchini Tanzania. Waziri Makamba ameyasema …

Soma zaidi »

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YATOA ELIMU YA CHANJO KWA WAFANYAKAZI WA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB)

Serikali imeandaa mpango wa jamii shirikishi na harakishi wa utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO – 19 kwa kuwafuata wananchi wanaohitaji huduma ya chanjo mahali walipo ili kuongeza kasi na kuwapa wananchi nafasi ya kuchanja. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt.  Rashid …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AHUTUBIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, tarehe 23 Septemba, 2021 amehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuihakikishia Jumuiya ya Kimataifa kuwa katika uongozi wake, Tanzania itaendelea kuwa mstari wa mbele katika kushirikiana na mataifa na wadau wengine duniani kutatua changamoto zinazoukabili ulimwengu hivi sasa. …

Soma zaidi »