IKULU

SERIKALI HAINA MPANGO WA KUONGEZA MIKOA MIPYA – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema Serikali haina mpango wa kuongeza maeneo ya utawala ikiwemo kuanzisha mikoa mipya na badala yake imejipanga kuimarisha huduma na mahitaji ya miundombinu iliyopo ili kuwaletea maendeleo wananchi. Amezungumza hayo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Namtumbo-Kilimasera-Matemanga-Tunduru yenye urefu wa …

Soma zaidi »