Makamu wa Rais

MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 WAFUNGULIWA KAMPALA NCHINI UGANDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema ili kuibadili Afrika Viongozi wake lazima wawekeze kwa Vijana na Watoto. Makamu wa Rais ameyasema hayo  wakati akihutubia kwenye mkutano wa Africa Now Summit 2019 jijini Kampala nchini Uganda. “Viongozi lazima wahakikishe wanawekeza kwenye lishe bora …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019

Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Uganda na kupokelewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Philemon Mateke pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt. Aziz P. Mlima katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Entebe. Makamu wa Rais pamoja na Naibu Waziri …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS ANAONDOKA NCHINI LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 UTAKAOFANYIKA KAMPALA – UGANDA

Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Kampala, Uganda kushiriki kwenye Mkutano wa mwaka 2019 wa ‘Africa Now Summit’unaotarajiwa kufanyika tarehe12 na 13 Machi.Mhe. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Mkutano huo utafunguliwa na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambaye ndiye mwenyeji …

Soma zaidi »

NAWAHAKIKISHIA MAJI YATAFIKA KOTE NCHINI – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo katika wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. Akiwa Wilayani Kahama Makamu wa Rais alitembelea mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya Ziwa Victoria kwennda katika miji …

Soma zaidi »

SERIKALI INASOGEZA HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WANANCHI – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Shinyanga tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 5. Makamu wa Rais ambaye amesafiri kwa njia ya barabara akitokea mkoani Tabora ambapo napo alikuwa na ziara yenye lengo la kuhamasisha na kukagua shughuli za kimaendeleo. …

Soma zaidi »