Matokeo ChanyA+

MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA

Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa. Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo. …

Soma zaidi »

SIKILIZA Radio chanyA+ REDIO YA MTANDAONI BURE

• Ni redio inayosimulia na kufafanua Matokeo ChanyA+ yanayofanywa kila dakika, kila saa TANZANIA 🇹🇿 katika ujenzi wa Taifa lenye uchumi imara na madhubuti kwa mkunufaisha wananchi wote. BOFYA • Ni redio iliyosheheni hotuba za kizalendo za viongozi wakuu wa nchi, makala ChanyA+ za miradi inayotekelezwa na serikali kwa sasa, …

Soma zaidi »

CHAMWINO: “Kaitumie sheria inayokupa mamlaka ya kuwafikisha mahakisha mahakamani wala rushwa ‘DIRECT’ bila kupita kwa yeyote” – RAIS MAGUFULI

Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli, wamekula kiapo mbele yake katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma siku ya Jumatano Septemba 12, 2018. “Nenda ukafanye kazi.” Kauli ya Rais Magufuli akimuagiza Mkurugenzi wa mpya wa Taasisi ya Kusuia na Kupambana na …

Soma zaidi »

Rais wa Tanzania amedhamiria na amejitoa mhanga kuijenga nchi ya Tanzania upyA+

DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI; •Rais wa Watanzania wa Hali ya chini, Masikini, wenye shida, wahitaji, wenye kumudu mlo wa siku kwa taabu; akiwa na lengo la kuwainua, kuwapa nguvu ya Kufanya Kazi na kupata kipato, • Rais mwenye kuwafanya watu wote wa nchi yake bila matabaka kuwa sehemu ya …

Soma zaidi »

UGAWAJI MIL.50 KILA KIJIJI UNAKUJA; LAKINI KWA SASA, BADO – MAMA SAMIA

Awaasa wananchi kuwa makini na matapeli wanaochangisha pesa wakidai watawaiginza katika mgao wa fedha hizo. Asema wapo wanatumia jina la Ofisi yake kuwalaghai wananchi Asema pesa hizo zitakuja lakini kwa sasa serikali inashughulikia mambo ya huduma za jamii kwanza.

Soma zaidi »