Miundombinu MKOA WA SIMIYU Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI

WANANCHI TOENI TAARIFA ZA UHARIBUFU WA MIUNDOMBINU ULIOSABABISHWA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA – NAIBU WAZIRI KWANDIKWA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa za uharibufu wa miundombinu ya barabara na madaraja uliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini kwa Mamlaka zinazohusika Ili zichukue hatua stahiki Naibu Waziri Kwandikwa ametoa wito huo mkoani Simiyu katika ziara yake ya kikazi ya kukagua athari zilizotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha

Madini MKOA WA SIMIYU NAIBU WAZIRI WA MADINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA MADINI Ziara ya Rais Mkoani Simiyu

SERIKALI YANEEMESHA WACHIMBA MADINI

Serikali kupitia Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP), imeendelea kunufaisha wachimbaji wadogo wa madini kwa kuanzisha na kuboresha mifumo mbalimbali itakayosaidia kukuza sekta ya madini pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo. Ujenzi wa Kituo cha Umahiri kilichopo katika Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu kunatokana na Sera ya Madini ya Mwaka 2009 ambayo […]

MKOA WA SIMIYU MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI Ziara ya Rais Mkoani Simiyu

BODI YA REA YAMPA SIKU 14 MKANDARASI WA UMEME MKOANI SIMIYU KUJIREKEBISHA

Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imempa siku 14 mkandarasi wa umeme vijijini mkoani Simiyu kuongeza kasi ya usambazaji umeme katika vijiji alivyopangiwa la sivyo Bodi hiyo haitasita kuchukua hatua mbalimbali za kimkataba ikiwemo ya kusitisha mkataba. Mwenyekiti wa Bodi ya REA, Wakili Julius Kalolo  alisema hayo tarehe 16 Novemba, 2019 wilayani Busega mkoani […]

Elimu ELIMU BURE Elimu Mtandaoni ELIMU YA MSINGI TANZANIA ELIMU YA SEKONDARI TANZANIA MKOA WA SIMIYU Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA ELIMU YA UFUNDI WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI

NAIBU WAZIRI NDITIYE AZINDUA UUNGANISHAJI WA SHULE ZA SIMIYU KWENYE INTANETI

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua uunganishaji wa shule za sekondari za Mkoa wa Simiyu kwenye mtandao wa intaneti kwa kuzifunga kompyuta mia moja zilizotolewa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na kompyuta za mpakato ishirini zilizotolewa na Kampuni ya Vodacom kwenye mtandao wa intaneti ili wanafunzi waweze kutumia huduma […]

Afya BIMA YA AFYA MKOA WA SIMIYU Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA Ziara ya Rais Mkoani Simiyu

SERIKALI YATOA BILION 5.7 UJENZI WA MAABARA NA JENGO LA UPASUAJI – SIMIYU

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto yatoa kiasi cha shilingi Bilion 5.7 kwaajili ya ujenzi wa jengo la maabara na jengo la upasuaji ikiwa ni awamu ya pili, baada yakuzinduliwa kwa awamu ya kwanza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, Mwezi Agasti 2018. […]

Afya BIMA YA AFYA MKOA WA SIMIYU Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA Ziara ya Rais Mkoani Simiyu

MKUU WA MKOA ANTHONY MTAKA ATAKA MAFUNDI WANAOTOKA KWENYE JAMII WATAMBULIWE, WAJENGEWE UWEZO

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri kupitia kwa wahandisi wa ujenzi kuwatambua na kuwajengea uwezo mafundi wote wanaotoka kwenye jamii wanaofanya kazi za serikali kwa kutumia mfumo wa ujenzi usiotumia wakandarasi (Force Account) hususani waliofanya kazi nzuri kwenye ujenzi wa hospitali za wilaya ya Mkoa wa Simiyu. Mtaka ameyasema hayo […]

MKOA WA SIMIYU Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI Ziara ya Rais Mkoani Simiyu

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOA SIMIYU YARIDHISHWA NA KASI YA TBA UJENZI WA OFISI YA DC BUSEGA

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Simiyu ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa, Mhe. Anthony Mtaka imeridhishwa na kasi ya Ujenzi wa jengo la ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega na majengo ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, chini ya Mkandarasi Wakala wa Majengo nchini (TBA). Hayo yamebainishwa na kamati hiyo […]

Miradi ya Rasilimali za Maji MKOA WA SIMIYU Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ USAFIRI MAJINI Wizara ya Maji Ziara ya Rais Mkoani Simiyu

MRADI WA MAJI LAMADI WAFIKIA HATUA ZA MWISHO

Serikali imesema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa maji wa Lamadi uliopo Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu ambao utekelezaji wake umefikia asilimia 93. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Emmanuel Kalobelo alisema hayo hivi karibuni wakati wa ziara yake kwenye mradi huo. Katika ziara hiyo Mhandisi Kalobelo alifuatana na washirika wa maendeleo […]

KILIMO MKOA WA SIMIYU NAIBU WAZIRI KILIMO Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA KILIMO Ziara ya Rais Mkoani Simiyu

KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO MHANDISI MTIGUMWE AMTEMBELEA MSINDIKAJI WA NAFAKA BUSEGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe jana Tarehe 17 Juni 2019 akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu amepata fursa ya kumtembelea muwekezaji mzawa wa kusindika Nafaka Bw Deogratius Kumalija katika Wilaya ya Busega. Akiwa kiwandani hapo Mhandisi Mtigumwe alipata maelezo kutoka kwa mmiliki huyo kuwa ameamua kujikita katika usindikaji wa mazao ya Nafaka […]