Taarifa Vyombo vya Habari

SERIKALI YA TANZANIA NA MISRI KUSAINIANA MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUANZISHA MASHAMBA MAKUBWA YA PAMOJA

Serikali ya Tanzania na Misri zinatarajia kusainiana mkataba wa makubaliano wa kuanzisha mashamba makubwa ya pamoja kwa lengo la kuinua kilimo cha ngano, mpunga na pamba Hayo yamebainishwa na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga mara baada ya kufanya mazungumzo na timu ya Wataalamu wa kilimo kutoka Misri wakiongozwa na Waziri …

Soma zaidi »

SERIKALI YATENGA TRIL 3 KUMALIZA MIRADI YA MAJI MIJINI NA VIJIJINI

Serikali imetenga zaidi ya sh Tril. 3 kwa ajili ya miradi ya maji mijini na vijijini ili kuhakikisha tatizo la maji linamalizika kabisa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo amesema hadi sasa miradi mikubwa 477 inatekelezwa vijijini huku …

Soma zaidi »

SERIKALI KUINUA ZAO LA KAHAWA NCHINI

Serikali imeamua kuanzisha minada ya kahawa kwenye maeneo ya uzalishaji kuanzia msimu wa 2019/2020 ili kuinua zao hilo la kimkakati nchini. Hayo yamesemwa Bungeni Dodoma na Naibu Waziri wa Kilimo,  Omary Mgumba wakati akijibu swali Mhe. Bernadeta Mushashu kuhusu mpango wa Serikali wa kuinua zao la kahawa Mkoani Kagera ikiwemo kupandisha …

Soma zaidi »

MISRI YAKUBALIANA NA TANZANIA KUJENGA KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA NA NGOZI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina amesema serikali za Tanzania na Misri zimekubaliana kuanzishwa kwa kiwanda kikubwa cha nyama na mazao ya ngozi hapa nchini. Waziri Mpina amebainisha hayo  Februari 5,2019 ofisini kwake jijini Dodoma mara baada ya kupata ugeni kutoka nchini Misri ukiongozwa na Waziri wa Kilimo …

Soma zaidi »

WANANCHI WA MKOA WA PWANI WAPONGEZA UBORESHAJI HUDUMA ZA AFYA

Waganga, Wakunga na Wananchi wa Mkoa wa Pwani wameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa hatua inazozichukua kuboresha huduma za Afya kwa kutoa fedha kwa ajili ya upanuzi wa vituo vya afya na ujenzi wa hospitali za Wilaya mkoani humo. Pongezi hizo zimetolewa na wadau hao wa afya mapema wiki hii, …

Soma zaidi »