Serikali imewataka Madiwani wote nchi nzima kutoa majina ya mitaa ili kufanikisha utekelezaji wa mpango wa anwani za makazi na postikodi Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye wakati akifungua mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu umuhimu na manufaa ya kutekeleza mpango wa anwani za makazi …
Soma zaidi »VIWANDA VYA NDANI VYAPONGEZWA KWA KUWA NA UWEZO WA KUONGEZA THAMANI KOROSHO YA TANZANIA
Viwanda vya ndani nchini vimepongezwa kwa kuwa na uwezo wa kuongeza thamani korosho ya Tanzania tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipotangaza uamuzi wa Serikali kununua korosho zote za wakulima tarehe 12 Novemba, 2018. Hayo yamesemwa na Prof. Joseph Buchweishaija, Katibu Mkuu Wizara …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA DENMARK, UFARANSA NA QATAR HAPA NCHINI
RAIS MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MSAMAHA KWA WASHTAKIWA WA UHUJUMU UCHUMI
Rais Dkt. John Magufuli amepokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa tarehe 22 Septemba, 2019 kuhusu kuwasamehe washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi waliotayari kukiri makosa yao, kuomba msamaha na kurejesha fedha na mali. Akitoa taarifa hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga amesema …
Soma zaidi »DKT.KALEMANI ATOA MWEZI MMOJA NGUZO ZILIZOHIFADHIWA ZISAMBAZWE
Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewagiza mameneja wa Shirika la Umeme Nchini(TANESCO)wote nchini kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja wanasambaza kwa wateja nguzo zote za akiba zilizohifadhiwa katika vituo na maeneo mbalimbali nchini. Kalemani alisema hayo, Septemba 28,2019, baada ya kuona nguzo zaidi ya Elfu mbili zikiwa zimehifadhiwa katika kituo …
Soma zaidi »LIVE:UWASILISHAJI WA UTEKELEZAJI WA KUWASAMEHE WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI, IKULU DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anapokea taarifa ya utekelezaji wa Ushauri alioutoa wa kuwasamehe Watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi walio tayari kutubu na kurejesha Fedha na Mali. Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Biswalo Mganga anawasilisha taarifa ya utekelezaji huo kwa Mhe.Rais Ikulu Jijini Dar es salaam.Septemba …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AHUTUBIA TAMASHA LA PILI LA UTALII ZANZIBAR
KUWA NA UMEME WA KUTOSHA HAKUMAANISHI TUSIWEKEZE ZAIDI – WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema kwa sasa Tanzania ina umeme mwingi kiasi cha kuwa na ziada ya takribani megawati 300 kwa siku; lakini amesisitiza kuwa serikali itaendelea kuwekeza katika sekta husika na kuzalisha umeme mwingi zaidi. Aliyasema hayo, Septemba 25, 2019 jijini Dar es Salaam wakati akifungua Warsha …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI AAGIZA BEI YA GESI ASILIA IPITIWE UPYA
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameziagiza Mamlaka zote zinazohusika na upangaji wa bei ya gesi asilia, kufanya mapitio upya ili kuja na bei itakayozinufaisha pande zote yaani serikali na wawekezaji. Alitoa maelekezo hayo kwa nyakati tofauti, Septemba 24 mwaka huu, alipofanya ziara katika kiwanda cha kutengeneza vigae cha …
Soma zaidi »SERIKALI MBIONI KUJENGA MITAMBO MIPYA YA UMEME MKOANI MTWARA
Katika kuhakikisha kuwa Mkoa wa Mtwara unakuwa na umeme wa uhakika kwa muda wote, Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewaeleza wafanyabishara na wawekezaji wa Mkoa huo kuwa, Serikali ipo mbioni kujenga mitambo miwili mipya ya umeme Alisema hayo, Septemba 25, 2019 wakati alipokuwa ajibu hoja za wadau wa maendeleo …
Soma zaidi »