Taarifa Vyombo vya Habari

NI MRADI WA UMEME WA MTO RUFIJI SIYO STIEGLER’S – WAZIRI KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amewasihi watanzania kuwa wazalendo kwa kuacha kuuita mradi wa kuzalisha umeme kwa maporomoko ya maji ya mto Rufiji kwa jina la Stiegler’s badala yake wauite kwa jina lake halisi la kizalendo. Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti jana, Julai 24, 2019 wakati akizungumza na waandishi …

Soma zaidi »

BURUNDI YAFURAHIA MRADI WA RELI YA SGR NA BANDARI KAVU KWALA – RUVU

Serikali ya Burundi imeufurahia mradi mkubwa wa reli ya SGR unaoendelea kufanyika nchini pamoja na ujio wa bandari kavu iliyopo eneo la kwala , ambapo nchi jirani ikiwemo Burundi, Rwanda, Uganda, Congo , Malawi , Zambia zitanufaika na usafirishaji wa mizigo . Hayo yamezungumzwa na Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi …

Soma zaidi »

UJENZI WA MAHANDAKI RELI YA KISASA – SGR WAANZA RASMI MKOANI MOROGORO

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Nditiye azindua rasmi uchorongaji Milima kwa ajili ya ujenzi wa mahandaki ‘tunnels’ yatakayopitisha reli ya Kisasa – SGR kipande cha Morogoro – Makutupora katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro  hivi karibuni . Jumla ya Mahandaki 4 yenye jumla ya urefu wa …

Soma zaidi »

LIVE:RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAZIRI NA NAIBU WAZIRI IKULU DSM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Mhe. George Boniface Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira. Mhe. Simbachawene anachukua nafasi ya Mhe. January Yusuf Makamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Wakati huo huo, Mhe. Rais Magufuli amuapisha …

Soma zaidi »