Taarifa Vyombo vya Habari

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA SADC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa kuwa na mipango, sera, viwango na mifumo ya pamoja ya kisheria itakayorahisha utoaji wa huduma za usafirishaji wa bidhaa na kukuza biashara ndani ya Ukanda huo. Akifungua Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya hiyo wanaosimamia sekta …

Soma zaidi »

MRADI WA MATUMIZI YA GESI MAJUMBANI MKOANI MTWARA KUOKOA MAZINGIRA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema kuwa, mradi wa matumizi ya gesi majumbani ambao utazinduliwa hivi karibuni katika mkoa wa Mtwara utasaidia kuepuka matumizi ya mkaa ambao licha ya kuharibu mazingira, husabisha maradhi mbali mbali. Alisema hayo, Septemba 14, 2019 kwa nyakati tofauti wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani, alipokuwa …

Soma zaidi »