WAZIRI SIMBACHAWENE AWASILI OFISINI, APOKELEWA NA MAKAMU WA RAIS

SM 2-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mpya wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira George Boniface Simbachawene alipowasili Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar Es Salaam leo Julai 22,2019 kwa ajili ya kujitambulisha rasmi mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
SM 3-01
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano wa Mazingira George Boniface Simbachawene akisaini kitabu kwa ajili ya kuanza kazi rasmi alipowasili Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli JIjini Dar es salaam leo Julai 22, 2019 mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Wizara hiyo Ikulu Jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.