Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Bwana Gerald Kusaya mapema tarehe 29 Julai, 2020 ametembelea Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Simiyu na baadae alielekea katika Viwanja vya Nyakabindi. Katibu Mkuu Kusaya aliekea katika Viwanja vya Nyakabindi ili kujionea na kukagua maandalizi ya eneo la maonyesho ikiwa ni pamoja na kujionea …
Soma zaidi »KATIBU MKUU KILIMO KUSAYA AGAWA PIKIPIKI 18 KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya amesema kuwa serikali imeendelea kuboresha sekta ya kilimo kwa kutoa Dola Milioni 35.3 kwa ajili ya kuwezesha mapambano dhidi ya Sumukuvu katika mazao ya wakulima nchini. Hayo yamebainishwa Jijini Dodoma wakati wa kutoa pikipiki kwa wakurugenzi wa halmashauri 18 wa Tanzania bara kwa …
Soma zaidi »WIZARA YA KILIMO YAJIPANGA KUKUZA KILIMO CHA MBOGA MBOGA NCHINI
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (tarehe 20/07/2020 ) amesaini mkataba wa makubaliano kati ya Wizara ya Kilimo na World Vegetable Center ili kuboresha utafiti na uendelezaji wa mazao ya mboga mboga ili kusaidia kuboresha lishe na kuongeza usalama wa chakula.Mkataba wa makubaliano umesainiwa Jijini kati ya Katibu Mkuu …
Soma zaidi »WAKULIMA MBINGU KILOMBERO WANUFAIKA NA UWEZESHAJI WA KILIMO CHA KOKOA
Na Mwandishi Ifakara Wakulima wa zao la Kokoa Mbingu Wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamenufaika na uwezeshaji kutoka Shirika la Africa WildLife lililowezesha kuongeza thamani ya zao la Kokoa kutoka kuandaa miche mpaka uzalishaji. Hayo yamebainishwa na wanufaika hao wakati wa zoezi la ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na Mashirika …
Soma zaidi »RC MALIMA ATAKA WAKULIMA WAUZE KAHAWA YAO KWA BEI NZURI AUNGA MKONO WANUNUZI BINAFSI
Uongozi wa Mkoa wa Mara umesisitiza kuendelea kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Rais Dkt John Magufuli kuhusu wanunuzi binafsi wakati akizungumza na wananchi wa Kyaka, Rwamisheye, Kemondo Muleba, Nyakabango na Kyamyorwa mkoani Kagera tarehe 11 Julai 2019. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Adam Malima leo tarehe …
Soma zaidi »WAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI
Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani. Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia mfumo huo, mazao mengine ni Ufuta ambao utauzwa kwa mfumo huo katika baadhi ya maeneo nchini. Waziri wa Kilimo …
Soma zaidi »TANZANIA YAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUFUFUA ZAO LA MCHIKICHI MKOA WA KIGOMA
Tanzania inaagiza asilimia 60 ya mafuta ya kupikia kutoka nje ya nchi kutokana na uhaba wa uzalishaji katika viwanda vilivyopo nchini.Kufuatia hali hiyo Serikali ya Awamu ya Tano ilianza kutekeleza mkakati wa makusudi kwa kufufua zao la mchikichi katika Mkoa wa Kigoma ili kuwezesha uzalishaji wa mafuta na kuziba pengo …
Soma zaidi »