Taarifa ya Habari

KUWA NA UMEME WA KUTOSHA HAKUMAANISHI TUSIWEKEZE ZAIDI – WAZIRI KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema kwa sasa Tanzania ina umeme mwingi kiasi cha kuwa na ziada ya takribani megawati 300 kwa siku; lakini amesisitiza kuwa serikali itaendelea kuwekeza katika sekta husika na kuzalisha umeme mwingi zaidi. Aliyasema hayo, Septemba 25, 2019 jijini Dar es Salaam wakati akifungua Warsha …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI AAGIZA BEI YA GESI ASILIA IPITIWE UPYA

  Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameziagiza Mamlaka zote zinazohusika na upangaji wa bei ya gesi asilia, kufanya mapitio upya ili kuja na bei itakayozinufaisha pande zote yaani serikali na wawekezaji. Alitoa maelekezo hayo kwa nyakati tofauti, Septemba 24 mwaka huu, alipofanya ziara katika kiwanda cha kutengeneza vigae cha …

Soma zaidi »

SERIKALI MBIONI KUJENGA MITAMBO MIPYA YA UMEME MKOANI MTWARA

Katika kuhakikisha kuwa Mkoa wa Mtwara unakuwa na umeme wa uhakika kwa muda wote, Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewaeleza wafanyabishara na wawekezaji wa Mkoa huo kuwa, Serikali ipo mbioni kujenga mitambo miwili mipya ya umeme Alisema hayo, Septemba 25, 2019 wakati alipokuwa ajibu hoja za wadau wa maendeleo …

Soma zaidi »

NDITIYE ARIDHISHWA NA UPATIKANAJI WA MAWASILIANO KIGOMA

Serikali imefanya ukaguzi wa upatikanaji wa huduma za mawasiliano mkoani Kigoma na kuridhishwa na hali ya mawasiliano mkoani humo kwa kubaini kuwa wananchi wanapata huduma za mawasiliano na wanawasiliana kwa kutumia mitandao ya kampuni za simu iliyopo Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amesema kuwa ameridhishwa na …

Soma zaidi »

SERIKALI KUVUNA MABILIONI KUPITIA USAMBAZAJI GESI ASILIA VIWANDANI

Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), inatarajia kukusanya kati ya shilingi milioni 85 hadi 120 kwa mwezi, sawa na shilingi bilioni 1.02 hadi 1.4 kwa mwaka kutokana na matumizi ya gesi asilia katika kiwanda cha Lodhia kilichopo Mkuranga, ambayo hadi sasa ni futi za ujazo …

Soma zaidi »