MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania inajivunia kufanya kazi kwa karibu na Nchi ya Rwanda kutokana na ukarimu mkubwa uliojengeka kwa muda sasa kwa Wananchi wa Nchi mbili hizo. Makamu wa Rais amesema hayo leo alipokutana na Balozi wa Rwanda …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AMEFUNGA MAONESHO YA WAKULIMA 88 MKOANI MOROGORO
MELI YA MKOMBOZI II YAWASILI ZANZIBAR
LIVE: WAZIRI MKUU KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANENANE
MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUCHAKATA MPUNGA
DKT. ABBASI ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO WIKI YA VIWANDA-SADC
LIVE:MAJADILIANO KUHUSU UZALISHAJI KATIKA NCHI ZA SADC
https://youtu.be/m8MMnC9BwKc
Soma zaidi »SERIKALI YAJA NA MRADI MPYA WA UMEME
Serikali kupitia Wizara ya Nishati, imezindua rasmi mradi mpya wa umeme unaolenga kupeleka nishati hiyo katika maeneo yaliyoko pembezoni mwa miji. Waziri mwenye dhamana ya sekta hiyo, Dkt Medard Kalemani, kwa nyakati tofauti wiki hii, amezindua mradi husika unaojulikana kwa jina la kigeni kama ‘Peri-Urban’ katika Wilaya tofauti za Mkoa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AWAHAMASISHA WATANZANIA KUENDELEA KUTEMBELEA KWA WINGI MAONESHO YA BIASHARA YA NCHI ZA SADC KUONA FURSA ZILIZOPO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahamasisha Watanzania kutembelea Wiki ya Maonesho ya Biashara ya nchi za SADC yanayoendelea katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijjini Dar es Salaama ili kuona bidhaa mbalimbali zinazozalishwa. Amesema ni fursa kubwa kwa Watanzania kuona bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi yao lakini pia wakaona bidhaa …
Soma zaidi »