Meli mpya ya mafuta ya MT.Ukombozi II,Ikiwasili kuelekea katika bandari ya Malindi Zanzibar ikitokea Shanghai Nchini China, iliyotengenezwa na Kampuni ya Damen Shipyard ya Uholanzi.Rais wa ZanzibarDk. Ali Shein, akiangalia Meli mpya ya mafuta ya MT.Ukombozi II,Ikiwasili kuelekea katika bandari ya Malindi Zanzibar ikitokea Shanghai Nchini China, iliyotengenezwa na Kampuni ya Damen Shipyard ya Uholanzi.