HOJA ZA SERIKALI – WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
Soma zaidi »WAZIRI WA NISHATI AKUTANA NA WAKANDARASI MIRADI YA UMEME VIJIJINI GEITA
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amekutana na wakandarasi wa miradi ya umeme vijijini katika Mkoa wa Geita na kujadiliana kuhusu utekelezaji wa miradi hiyo kwa ufanisi zaidi. Katika kikao hicho kilichofanyika, Aprili 20, 2019 katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Chato, makubaliano maalum yaliyofikiwa ni kwa wakandarasi husika …
Soma zaidi »HAKUNA SIKUKUU KWENYE KAZI ZA UMEME – WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewaagiza amewaagiza wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini kuendelea na kazi katika maeneo yao kwa siku zote zikiwemo sikukuu. Alitoa maagizo hayo Aprili 18, 2019 Kongwa, Dodoma alipokuwa akikagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini; ambapo pia aliwasha umeme katika vijiji vya Ngonga na …
Soma zaidi »HIFADHI YA NGORONGORO KUENDELEA KUVUTIA WATALII ZAIDI – DKT.MANONGI
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuendelea kuvutia watalii wa ndani na nje ya nchi ili kuongeza mchango wa sekta hiyo katika pato la Taifa na kuchochea ustawi wa wananchi. Hayo yamesemwa na Mhifadhi mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Fredy Manongi wakati wa kipindi cha ‘TUNATEKELEZA’ ambapo alieleza kuwa dhamira ya …
Soma zaidi »UJENZI WA SGR DAR MPAKA MORO WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 48
WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA CHINA WAKUTANA KWENYE MKUTANO WA UWEKEZAJI NA BIASHARA NCHINI CHINA
LIVE : IBADA YA IJUMAA KUU
Kitaifa kutoka Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Ushirika wa Kanisa Kuu, Lukajenge mkoani Kagera
Soma zaidi »BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha jumla ya Shilingi bilioni 55,175,163,302 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo kwa Wizara ya Katiba na Taasisi zake. Kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 47,283,566,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na mishahara na shilingi Bilioni 7,891,598,000 …
Soma zaidi »SHIRIKA LA SUN FLOWER KUJENGA KIWANDA NCHINI
Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na uzalishaji wa Kilimo cha Alizeti {Sun Flower} la Alemdar kutoka Nchini Uturuki limeonyesha nia ya kutaka kujenga kiwanda kitakachozalisha Bidhaa tofauti kwa kutumia malighafi ya Maua hayo katika azma ya kuitikia wito wa Serikali wa kuwa Nchi ya Viwanda katika kipindi kifupi kijacho. Ofisa Mkuu …
Soma zaidi »WATUMISHI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WATAKIWA KUBORESHA ZAIDI MIFUMO YA UKUSANYAJI MAPATO YA SERIKALI
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji , amewataka Watumishi wa Wizara hiyo kuendelea kuboresha mifumo ya ukusanyaji mapato ya ndani na kupanua wigo wa walipakodi pamoja na kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato kutoka vyanzo mbalimbali. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano wa Baraza …
Soma zaidi »