Balozi wa Tanzania nchini China Mh.Mbelwa Kairuki, akizungumza katika Mkutano wa Uwekezaji na Biashara ambao umefanyika Jijini Guangzhou. Mkutano huo umeandaliwa na Jumuiya ya Wafanyabishara Tanzania (TCCIA) na kuhudhuriwa na wafanyabiashara 100 kutoka Tanzania na China. Ujumbe wa wafanyabiashara wa Tanzania upo China kwenye ziara ya siku 10Baahdi ya wadau wakifatilia Mkutano wa Uwekezaji na Biashara ambao umefanyika Jijini Guangzhou. Mkutano huo umeandaliwa na Jumuiya ya Wafanyabishara Tanzania (TCCIA) na kuhudhuriwa na wafanyabiashara 100 kutoka Tanzania na China. Ujumbe wa wafanyabiashara wa Tanzania upo China kwenye ziara ya siku 10Baahdi ya wadau wakifatilia Mkutano wa Uwekezaji na Biashara ambao umefanyika Jijini Guangzhou. Mkutano huo umeandaliwa na Jumuiya ya Wafanyabishara Tanzania (TCCIA) na kuhudhuriwa na wafanyabiashara 100 kutoka Tanzania na China. Ujumbe wa wafanyabiashara wa Tanzania upo China kwenye ziara ya siku 10