ZIARA YA MAKAMU WA RAIS USHETU
UJENZI WA BARABARA ZA JUU UBUNGO WASHIKA KASI
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA WATOA HUDUMA YA UPIMAJI USIKIVU BILA MALIPO
Wingi wa watu waliojitokeza kupima usikivu wao umeonyesha ni jinsi gani wananchi wanajali afya zao, huku wakipewa sababu zinazosababisha baadhi ya watu kupoteza uwezo wa kusikia na jinsi ya kuzuia upotevu wa kusikia. Upimaji wa usikivu bila malipo umeanza Machi 2, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila ambapo kauli mbiu …
Soma zaidi »SERIKALI KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UZALISHAJI WA PAMBA MBEGU VIPARA -BASHUNGWA
Serikali imeeleza kuwa imejipanga kuimarisha zao la Pamba ili kuongeza uzalishaji nchini kwani kufanya hivyo wakulima watanufaika katika uzalishaji wenye tija na kuimarisha biashara. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Muhunze kilichopo katika Wilaya ya Kishapu wakati …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI AHUDHURIA KUUAGA MWILI WA RUGE MUTAHABA, MKURUGENZI WA VIPINDI NA UZALISHAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP
BWANA ALITOA NA MWANA AMETWAA; JINA LAKE LIHIMIDIWE
Soma zaidi »NAWAHAKIKISHIA MAJI YATAFIKA KOTE NCHINI – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo katika wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. Akiwa Wilayani Kahama Makamu wa Rais alitembelea mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya Ziwa Victoria kwennda katika miji …
Soma zaidi »UJENZI WA TEMINARL III WAFIKIA ASILIMIA 95
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) na kusema ameridhishwa hatua iliyofikiwa. Mradi wa ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 95 na unatarajiwa kukamilika Mei 30, mwaka huu ambapo hadi sasa tayari maeneo …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: IGP SIRRO Afanya Mabadiliko Jeshi la Polisi
PROF. KABUDI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA “DEFEND DEFENDERS” GENEVA, USWISI
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya “Defend Defenders” Bw. Hassan Shire na Bw. Nicolas Agostini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Geneva nchini Uswisi wakati wa Kikao …
Soma zaidi »