LIVE KUTOKA IKULU: RAIS MAGUFULI AKUTANA NA TIMU YA WATAALAMU WA MATIBABU YA MOYO
#MATAGA
Soma zaidi »BUNGE LIVE; MASWALI KWA WAZIRI MKUU
BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS JIJINI DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa Kuwait nchini Mhe. Mubarak Mohammed Faleh ALSEHAIJAN aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Kilimani jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha.
Soma zaidi »”Jiongeze Tuwavushe Salama” Tupunguze Vifo Vitokanavyo na Uzazi – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa kila Mkuu wa Mkoa aifanye afya ya uzazi na mtoto kuwa ajenda ya kudumu katika vikao vya ushauri vya Mkoa (RCC). Makamu wa Rais ametoa maagizo hayo leo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya …
Soma zaidi »Kalemani: Vituo vya kupooza na kusambaza Umeme vifanyiwe ukaguzi kila siku
Mameneja wote wanaosimamia vituo vya kupoza na kusambaza umeme nchini wametakiwa kufanya ukaguzi ( checkup) wa kila siku asubuhi katika mitambo na mashine zilizopo katika vituo hivyo kuondoa adha ya kukatika umeme kutokana na hitilafu au uharibifu katika vituo hivyo. Licha ya kuwa vituo hivyo vinafanyiwa ukarabati na ukaguzi wa …
Soma zaidi »MOI KUANZA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU ILIYOZIBA KWENYE UBONGO
Mkurugenzi wa ubora na uhakiki wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt Mohamed Mohamed leo tarehe 5/11/2018 amefungua kongamano la tano kimataifa la mafunzo ya madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu katika ukumbi mpya wa Mikutano MOI ambapo mafunzo yanafanyika kwa …
Soma zaidi »LIVE: MKUTANO WA 13 WA BUNGE KIKAO CHA KWANZA
Viapo vya Wabunge wapya waliochaguliwa katika chaguzi ndogo kadhaa. Kipindi cha maswali na majibu
Soma zaidi »LIVE:Msemaji wa Serikali Akizungumzia Miaka 3 ya JPM
MTIHANI WA KIDATO CHA NNE KUFANYIKA KATIKA SHULE 4873 NA VITUO 1072.
Wanafunzi wa kidato cha nne nchini kote leo wameanza mitihani ya kumaliza elimu ya kidato cha nne katika shule 4873 na vituo vya kujitegemea 1072 wanaanza rasmi mitihani yao leo November 5 hadi 23 mwaka huu ya kumaliza elimu yao ya kidato cha nne. Tunawatakia wanafunzi wote mitihani mema.
Soma zaidi »